Acha Kuleta Ujinga wako hapa Kwenye Plan ndipo Public debt huwa inatajwa na kukopa hiyo pesa italifanya lipande zaidi.Unawaona watu ni vilaza ila huenda na wao wanakushangaa, kwani makadirio ya bajeti lazima yaainishe deni la taifa? Na sijui hiyo public debt ni kitu gani kwenye makadirio ya bajeti
Wale jamaa ukiwapa kisogo watakufanyia fitna huwezi amini, sio watu wale, kama wanamtunishia misuli Russia huku Africa ndo kama wameiweka kiganyani.Sasa ivi kilichobaki mueshimiwa ajalibu kufanya mchakato na makampuni makubwa kama Huawei, Toyota, Tecno, Suzuki na makampuni ya kusindika Nyama ya Ng'ombe, ngozi, na Maziwa
Maana Kuna pesa nyingi sana apa Tanzania ajalibu kuongea na Chinese na Japanese. Kuliko kutegemea mataifa ya magharibi yana majungu sana. Wewe upewe msaada kwa kukubali kudhalilishwa alafu bado wanakuwa kukuibia
na sio vibaya tukiwalipaWanaotupa msaada wa kuendesha budget zetu. Wakiona tunaaanza kusimama wataanza kukumbushia madeni yao. Hapo ndio inakuwa shida sana
uko sahihiComment hizi siyo za Kiuchumi ni za kimbea na ya Kijiweni zaidi.
lately nimecheki,limefikia 47 trillsHaya yote maigizo tu.misaada +mikopo sawa na 12 trillion ambayo ni karibu nusu ya budget,bado public debt
deni letu limefikia 47 trilliönsBila kuona debt level siwezi kuelewa,pia ni makisio tu na itatekelezeka kadiri ilivyopangwa ikiwa kila shilingi hapo itapatikana na hiyo itategemeana performance ya macro economic indicators,tusubiri
nipe mfano mmoja wa udhalilishwaji!Sasa ivi kilichobaki mueshimiwa ajalibu kufanya mchakato na makampuni makubwa kama Huawei, Toyota, Tecno, Suzuki na makampuni ya kusindika Nyama ya Ng'ombe, ngozi, na Maziwa
Maana Kuna pesa nyingi sana apa Tanzania ajalibu kuongea na Chinese na Japanese. Kuliko kutegemea mataifa ya magharibi yana majungu sana. Wewe upewe msaada kwa kukubali kudhalilishwa alafu bado wanakuwa kukuibia
Kipindi hicho sio kipindi hiki jaribu kwenda na wakati Yale ya Jana sio ya leoTatizo la hizi bajeti unaweza kufurahia figure hapo lakini mwisho wa mwaka wa fedha hela iliyopatikana unakuta hata robo tatu haifiki, kuna Taasisi moja ya Muhimbili walipangiwa 118Biln mpaka jana kamati ya bunge imepita pale hela waliyopata ni 1 Biln Taasisi nyeti kama Afya.
Mapumbavu yatakuja hapa kupiga mbinja kwamba Magufuli kafunika, kumbe ni uchuro mtupu. Hizi ni bajeti za geresha tu, nendeni mwulize huko kwenye halmashauri kama fedha zote zilizopangwa bajeti iliyopita zilifika. Kwa uhalisia bajeti hii ni Trilioni 14.5 tu, wala msidanganyike kwamba ni trillion eti 29.5Bajeti ya Mwaka 2016/17 ni tshs 29.5 trillions. TRA watakusanya tshs 17.8 trilioni. Mikopo itachukuliwa tshs 7.5 trilioni na Misaada ya wafadhili 3.6 trilioni. Matumizi ya kawaida tshs 17 trilioni na Matumizi ya Maendeleo 11.trilioni.Bajeti ya tshs 29.5 trilioni ni hatua kubwa sana.
kwani leo hali ikojeKipindi hicho sio kipindi hiki jaribu kwenda na wakati Yale ya Jana sio ya leo
Hivi ni kweli wachangiaji wa huu uzi ni vilaza kiasi hiki mbona sioni Public debt imefikia sh. ngapi halafu bado unakopa 7.5 Trillion watu mnasifia Ujinga
So ni TZS. 45 Trillion halafu zitakopwa 7.5Trillion so deni litakua 52.5Trillion hili deni ni kubwa tatizo la deni la Taifa huathiri vizazi na vizazi.Kwa kifupi tu mkuu, deni la Taifa kwa sasa ukiligawanya kwa idadi ya Watanzania wote ( walio takrobani milioni 50 ), basi kila kichwa kilicho hai kitakuwa kinadaiwa laki 9.
na enzi za dola ni sawa na shilingi tano asemeje?? usilete histori hapa....Akili ndogo sana hii budget ni sawa na Trillion 9 tuu Shilling ilivyokua imara kwa exchange rate ya 650.