Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,615
- 39,937
Hili ni kweli kabisa ila hivi hao wake zao huwa wanatoa mzigo kweli au wanafanya mbinu ya kukuchuna tu basi.Chukua tahadhari usawa huu kuna watu wanatumia wake zao kama mitaji
Hili ni kweli kabisa ila hivi hao wake zao huwa wanatoa mzigo kweli au wanafanya mbinu ya kukuchuna tu basi.Chukua tahadhari usawa huu kuna watu wanatumia wake zao kama mitaji
Ndio maana ninyi mnapaswa kuoana wenyewe kwa wenyewe.Sisi wahaya tunajua kula na kipofu, tena ukute mwanamke ni wakwetu tunatafuna wala bwana shemeji hushtuki milele daima. "charity begins at home"
MmhNdio maana ninyi mnapaswa kuoana wenyewe kwa wenyewe.
Wahaya mnashangaza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wahaya tunajua kula na kipofu, tena ukute mwanamke ni wakwetu tunatafuna wala bwana shemeji hushtuki milele daima. "charity begins at home"
Unaamua utoke geti lipi la mbele au la nyuma😀Gesti/Hotel za sinza usalama mdogo. Wahudumu wana njaa, hawachelewi kukuuza. Katika zoote Naikubali CHICHI HOTEL kinondoni biafra
Gesti za TIP TOP ongezeni mlango wa dharuraAsante kwa mleta uzi: -
Mambo ya kuzingatia kama unatoka na mke/mume wa mtu.
1. Hakikisha kila mmoja wenu amesevu jina lisiloleta mashaka. Wataalamu huwa wanasevu majina kama "fundi majiko", "kijana wa mama Maiko" na wanaume unasevu kama " fatma ofisini", "dada wa usafi", "tanesco temeke" " NIDA" na kadhalika.
Mkitaka usalama zaidi huna haja ya ku-sevu namba kabisa.
2. Hakuna kuitana majina ya kimahaba kwenye SMS au unapompigia. Na mazungumzo lazima yawe mafupi.
Ili kujua kama ni salama kuchati naye au kumpigia, lazima muwe na mbinu yenu ya Siri ya kujua (codes). Kwa mfano kuna baadhi wanaanza na maneno ya Siri Kama NECTA, CCM Au CHADEMA Kisha upande wa pili unajua namna ya kujibu kuonyesha kuna usalama au la.
Kumbuka ku-delete call history ya namba ya mchepuko lakini acha call history ya namba nyingine ili kuepusha kuhisiwa vibaya.
3. Kuna maneno hayapaswi kuwepo katika chat zenu. Maneno kama "tutaonana", "nimekumiss" na "gesti" , lodge, hoteli. Lazima muwe na maneno yenu mnayoelewa nyinyi tu. Kwa mfano mimi na mwenzangu zamani hizo tulikuwa tunatumia maneno kama "shamba", field, ikulu na kadhalika.
4. Siku mnayoonana lazima muipange walau siku mbili kabla ili mwanamke aandae mazingira nyumbani kwake mapema isije ikaonekana ni ghafla sana. Na asubuhi ya tukio sio muhimu kwake kushika simu mara kwa mara isije ikaamsha hisia za wasiwasi kwa mwenye mali.
5. Hii ni siku ambayo mwanamke anapaswa kuvaa kawaida. Hata nguo za ndani avae zile za kawaida. Wanaume wote tunajua siku mwanamke akivaa nguo zake zinazovutia basi amevaliwa mwanaume.
6. Mwanaume lazima uwe na mpango wa pembeni iwapo mambo hayataenda sawa. Eneo unalompeleka hakikisha unalijua vizuri, njia za uwani na ngazi kama ni zile hoteli za ghorofani. Kwa gharama yoyote ile epuka "confrontation" lengo ni ku-escape.
7. Pamoja na yote hayo, si mara zote utakuwa salama hivyo ni vyema kuwa na alternative ya mahali mnapoenda. Mnaweza mkajadiliana na kukubaliana sehemu X ila wewe ushapanga kumpeleka sehemu Y. Ni surprise lakini pia inaepusha mambo mengi.
8. Uchaguzi wa maeneo, epuka eneo ambalo mlango wa kuingilia upo wazi sana na maeneo yenye mlango mmoja tu wa kutokea. Mlango wa uani/dharura ni muhimu sana. Mimi huwa napenda miaka ya nyuma kwenda pale Columbus Hotel mtaa wa Congo maana pale Wamachinga mpaka mlangoni wa kuingia hotelini hivyo ni ngumu hata mtu kujua umeingia ama kutoka humo.
9. Ni vyema ukatumia usafiri na sio kuanza kutembea kwa miguu huku mkitafuta guest. Na hapa sasa usitumie usafiri wako kama ni mazingira ya karibu na usiwe na bajaji ama bodaboda maalumu. Hawa akishakuzoea anaweza akauza na kuanza kusimulia habari zako kijiweni.
10.Kama unaweza acha hizi habari za wake/waume za watu. Unaweza kumaliza salama ama ukapata majanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
SureNdio maana ninyi mnapaswa kuoana wenyewe kwa wenyewe.
Wahaya mnashangaza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hazina?Gesti za TIP TOP ongezeni mlango wa dharura