It was just a matter of time.Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi Mkurugenzi Mkuu wa FBI, katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya marekani ikinukuu taarifa ya Rais Trump inasema "uamuzi wa kukuondoa katika nafasi yako inafuatia ushauri uliotolewa na naibu mwanasheria mkuu wa Marekani"
Comey na Trump walitofautiana sana tangia wakati wa kampeni.
Si ajabu kamfukuza kazi kwa namna ya aibu inayomtangaza Comey kuwa ni 'kilaza' kazini...kitu ambacho watu wanajua sio kweli.
Na haikuwa lazima kujificha nyuma ya mwanasheria mkuu katika hili. Trump angetangaza replacement kama ilivyo ada maisha yakaenda.