Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,746
- 5,890
Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani.
YouTube · Afro Page
4.7K+ views · 4 days ago
US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection
Rais wa USA Donald Trump anataka Rais kijana,mzalendo wa nchi yake,na mwenye uchungu na Afrika Cap Ibrahim Traole wa Bukina Faso akamatwe, kwa kileTrump anachodai eti Rais huyo anatumia akiba ya dhahabu ya Bukina Faso kujiimarisha.
Baada ya kusema hayo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nae ameunga Mkoba takwa la Trump.
Ikumbukwe Ibrahim Traole aliitaka Ufaransa nchi isiyo na mgodi wowote wa dhahabu lkn Ina akiba kubwa sana ya dhahabu hapa duniani.
Ufaransa iliiba dhahabu nyingi sana kutoka Afrika na zaidi Bukina Faso.
Kauli ya kutaka dhahabu zirudishwe ilimuogofya sana Emmanuel Macron na Viongozi kadhaa wa West wakidhani huenda Viongozi wengine wa Afrika wakaamka na kuanza kudai madini Yao.
Hata hivyo nchi zenye mapenzi mema na Traole zimeonesha kutokubaliana na tamko la Trump.
Tusubiri tuone Nini kitatokea.
Shocking new claims reveal the U.S. wants to arrest Capt. Ibrahim Traoré for allegedly trading gold in exchange for military protection deals! The Burkina Faso leader’s bold moves have sent shockwaves through global politics, raising major tensions. Is this about justice — or control over Africa’s resources? This unfolding story is heating up fast! Lets dive into US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection