Donald Trump afuata nyayo za Magufuli

Kuna mtu tulibishana kuhusu uhuru wa kusema nikamuambia aandike tangazo kwenye kioo cha nyuma cha gari lake amtukane rais halafu ateembee nalo mjini siku nzima tuone hatima yake akaogopa.

Na ukikamatwa kesi ya kibwege hivyo unaenda ndani mwenyewe kimya kimya hakuna headlines.
 
Na nchi hii hii wakati wa Bush kuna mtu alijenga kibanda cha makaratasi kibovu pale pale nje ya geti la ikulu akawa analala hapo na kila siku anabandika matangazo ya kumpinga Bush. Na hakuchuliwa hatua yeyote sijui aliishia wapi.
 
Kuna marapa wameimba nyimbo zilizotaja rais. Wimbo wa Tupac Mr. President haukuwa mbaya ulikuwa ni wa kumuomba msaada rais.

Na pia ieleweke nyimbo zinachujwa Marekani. Nyimbo nyingi zina version mbili. Kuna uncut ambazo zina matusi hizi hazipiti TV na redio na kuna zilizochujwa na mwimbo huo huo ukiondolewa matusi unaweza kuusikia kwenye TV na redio.

Na maisha ya marapa hasa hao waliowahi kuandika nyimbo za kumtukana rais ni ya jela jela tu kila siku kuna mmoja alishawahi hata kusema hajui amekamatwa na polisi kwa nini.
 
Watu wa Kigamboni ni Watanzania wenzetu, lakini wao kwenda nyumbani ni lazima walipie daraja. Mimi nikienda nyumbani, napita Daraja la Sam Nujoma na Mandela free of charge. You know what rookie?

Huko kwa wenzetu kujenga madaraja sio kitu cha rais kubwabwaja hadharani...ni kazi ya serikali yeyote ile itakayoingia madarakani.

Kuna watu wengi Marekani ambao acha daraja kwenda nyumbani kwao tu inabidi walipe toli. Kuna barabara za kulipa Marekani EZ pass. Hili ni suala la serikali za miji.
 
Back
Top Bottom