Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Wakati Watumishi wote
Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa kazi.

Kwa ujinga huu Jumatatu nitaandika barua ya kuacha kazi Utumishi wa Umma (SERIKALINI) ndani ya saa 48, kuelekea Halmashauri ya Jiji la Mwanza. #DON NALIMISON(Deo Kisandu wa zamani). Namsinifatilie kwenye mipango yangu.

Ndimi:
DON NALIMISON.
 
Wakati watumishi wote
Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa kazi.

Kwa ujinga huu Jumatatu nitaandika barua ya kuacha kazi Utumishi wa Umma(SERIKALINI) ndani ya saa 48, kuelekea Halmashauri ya Jiji la Mwanza. #DON NALIMISON(Deo Kisandu wa zamani). Namsinifatilie kwenye mipango yangu.

Ndimi:
DON NALIMISON.
View attachment 1516515
Kila siku uonewe wewe tu??????

Kutakuwa na tatizo mahali
 
Jamaa we ni mbishi ngoma ngumu
Ila usikate tamaa utafika tu pale unapopatafuta

Ova
Jamaa yupo vizuri, kuanzia CDM alifanya vizuri, akahamia NCCR, napo alifanya vizuri hadi akawa mwenezi wa umoja wa vijana. Then baada ya hapo sijui nini kilimtokea, maana alipoenda Mwanza kufundisha ndio kuna mambo flani flani yakaonekana hayaendi poa kwake. Ila yupo vizuri huyu jamaa, siyo wa kumchukulia poa.
 
Back
Top Bottom