Nyama Hatari
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 219
- 12
SASA NYAMA NIPE JINA LA HIYO MOVIE NIETAFUTE AU SIYO MKUU MANAKE DON CHICONNELI SI MCHEZO.
Signor, siyo DVD bali ni CD (cheki chini)
http://ligamusic.com/Album/8851/Armand_Van_Helden/Gandhi_Kahn/mp3/
Halafu sasa mbona na Don Killuminatti umemsahau? Unajua mkono wa Don Killuminatti lazima utakuwapo kwenye hili saga la Balali, au unasemaje Signor?