Dollar yaanza kupanda kwa kasi kurudi ilikotoka

Nisamehe leo siwezi andika sana, Iła huko nyuma nishaelezea kwa kina ni measures za muda mfupi.

Vinginevyo unaweza Google utapata articles za Tanzania kuingia makubaliano na IMF kupewa unafuu wa kutolipa madeni kwa miezi mitatu (ilikuwa June).
Mara IMF mara WB
 
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2420 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja
ChawaWaMama Lucas Mwashambwa na wengine wote mliokuja kusema juzi kazi nzuri ya mama njoeni pia semeeeni hili
 
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2420 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja
Iliyofika 2420 ni shilling, dola imebaki 1 tuu.
 
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2420 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja
Ilikuja kula sikukuu sasa inasepa
 
Dola hapa nikama bidhaa. Sisi tunatumia tsh kununua dollar kama bidhaa. Mfano kama sukari ilinunuliwa 1000, leo ikauzwa 2000. Tunasema sukari imepanda
Hapo iliyopanda ni shilling, wakati ni sh 1000 dola ilikuwa 1, na sasa sh 2000 hiyo ni dola 1.
Inayopanda ni sh. (Maana yake sh imeshuka thamani)
 
Oook...wataalamu wa mambo ya fedha ni nini kinasababisha pound kuwa na thamani kuliko dollar maana kama ni demand nahisi euro na dollar ni zaidi ya pound
 
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2420 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja
Hilo ni jambo lisilofurahisha, linaathiri maisha yetu.
 
Huwezi kushusha thamani ya dola kwa kutumia siasa na maneno maneno, dola inashuka kwa watu kufanya kazi na kuzarisha sana, kuuza nje sana, kuacha uchuuzi, kuucha utegemezi WA bidhaa mbalimbali aka importation ya kila kitu.

Population tulitonayo ya zaidi ya 60mil people ni faida kiuchumi kama tunaiutilize hiyo manpower, faida ya eneo, ardhi bikra na rasirimali zakutosha tulizobalikiwa ni faida nyingine kama tutatumia akili na kuwa na skilled workforce kubwa.
 
Ukitumia akili yatanzania population ya tanzani 44% niwatoto , inayobaki toa 5.5% wazee , toa hapo asilimia za jobles. Toa hapo % za wale wanawake wanaosema mwanamke hatakiwi kufanya kazi ambao niwengi balaa. Je katika hiyo population nguvu kazi niipi? Trust me wazalishaji tanzania hawafiki 20M
 
Back
Top Bottom