Dollar yaanza kupanda kwa kasi kurudi ilikotoka

6420b988-fc00-453e-a3a8-6d26ee015e93.jpeg
 
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2420 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja

Hawasikiagi, hakuna mtu Tanzania aliyesababisha dollar kushuka, ni issue za Marekani wenyewe
 
Labda kama uliamini kweli marehemu Mafuru alitoa suluhisho la kudumu kwa ‘bi-tozo’.

Vinginevyo kushuka kwake ilikuwa temporary measures za WB kuisamehe nchi kutolipa madeni yake kwa miezi mitatu.

Baada ya hapo mziki ulikuwa unarudi pale pale.
Madeni ya WB au wote waliotukopesha?..WB wanatudai kiasi gani?
 
Back
Top Bottom