fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Uislamu umekubali kuua makafiri.
Nimetoa aya hapo juu.
Tena aya zimesema Waislamu watakaozembea katika vita ni wanafiki na siWaislamu wa kweli.
Kwa hiyo inawezekana kabisa hao ISIS ndiyo Waislamu wakweli na hawa wanaojibaraguza na "Uislamu ni dini ya amani" ndio wanafiki wanaosemwa katika Quran.
Waliyo waloga walifanikiwa kama ambavyo north Korea alivyofanikiwa kwenye makombora yake hao ni dola la marekani na mataifa yote ya magharibi mbona hilo dola la uhalifu hujawahi sikia limefanya uhalifu china?