Dogo hali anataka kuhama shule na comb

habari humu ndani,nina mdogo wangu kamaliza four ila kapangiwa shule na comby ambayo hakuchagua. Na cha ajabu hata hiyo comby aliyopangiwa kwenye hiyo shule aliyopangiwa haipo.
Je inawezekana kuhama??? from government to government(school)
comby ya PCB imebalance vibaya mno na ndo anayoitaka.
yani hali,ye ni kulia tu mda ote.
Msaada please,ushauri wenu,what to do?
na kama kuhama haiwezekani please naomba mnitajie shule za private sayansi zenye ada nafuu.
Selkali haiwezi kukupangia comb ambayo haipo unadanganya kama haikuwepo awali jua ndio inaanza
 
habari humu ndani,nina mdogo wangu kamaliza four ila kapangiwa shule na comby ambayo hakuchagua. Na cha ajabu hata hiyo comby aliyopangiwa kwenye hiyo shule aliyopangiwa haipo.
Je inawezekana kuhama??? from government to government(school)
comby ya PCB imebalance vibaya mno na ndo anayoitaka.
yani hali,ye ni kulia tu mda ote.
Msaada please,ushauri wenu,what to do?
na kama kuhama haiwezekani please naomba mnitajie shule za private sayansi zenye ada nafuu.
Kitu cha kwanza hakikisha uwepo wa combi hiyo hapo shuleni. Tafuta mawasiliano yao. Kama kweli haipo ina maana kuna kosa la kiufundi limefanyika na hapo usisite waone wahusika uso kwa uso wakilisha issue yako. Hujasema ufaulu wake kwa PCB ukoje? Ukieleza utapata ushauri kama ufaulu wake kwa shule za serikali atapata PCB. Kama ana ufaulu mzuri basi pata majibu kutoka kwa wahusika. Uhamisho unawezekana. Short cut aombe private kama uwezo upo.
Form 5 au Diploma hii inategemea na kile yeye anaona atamudu. Kila moja ina kamari zake-lakini akipenda yeye mwenyewe kama hayatakwenda vizuri hata lalamika kama yule ambaye alichaguliwa njia ya kupita. Nimejaribu kucheck Diploma qualification inamruhusu mtu kuingia MD program? Vyuo vingi vinataka Ordinary Diploma in Clinical Medicine (B+ or higher alternatively GPA 3 or above), Dar na Muhimbili wanasema hayo yote na ikiwezekana principal mbili (PCB) zitasaidia yaani wale ambao Adv. level haikuwaruhusu kwenda MD wakaenda Diploma watakuwa na added advantage. KCMC wao wanataka uwe na principals 2 A level plus Ordinary Clinical Medicine Diploma. Mchezo huu ninavyo usoma kama anataka kwenda MD itabidi afikirie A level. Kumbuka vijana waliomaliza F6 kuanzia last year wengi imewabidi kwenda kuchukua clinical diploma na hawa wakianza kutoka wenye diploma na F4 tu watakumbana na ushindani mkubwa.
 
akimaliza diploma ataweza kuendelea na chuo kama kawaida au?
Asisumbuke na ujinga wa kusoma diploma.Hii nchi usiposoma A level utanyanyasika sana kupata nafasi ya chuo kikuu!Kama ikiwezekana asiwaze kabisa kusoma diploma.Apigane akasome digrii.
 
Mkuuu ushauri wangu kwako na kwa mdogo wako mtafutieni chuo cha maswala ya Afya akasome zake Diploma kwa miaka 3 akimaliza hapo anze kupambana na ajira
mtaani..form 5 & 6 kwa hali ilivo sasa na vipato vyetu vya kati sioni kama ni big ishu sana.. as long as mtoto kafanya vizuri masomo ya sayansi kwa o level..
Hivo ndivo nionavyo na niaminivyo mimi...
.



kwel kbsa yan ushaur mzur maana kama aijabalance vzr hyo PCB alaf ataenda kukutana na vitu heavy ajipange lkn then wa kike nini na kulia tena???
 
hilo Toto umelidekeza sana,form 4 linalialia kiboyaboya tu,kama VIP achana nalo hata mwaka mmoja upite bila kulipeleka shule,ndo litajua ugumu wa kitaa!
 
Back
Top Bottom