Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,145
- 26,137
Unaonaje suala hilo sasa likawekwa kikatiba na isiishie kwenye desturi tu!Ajenda ya mkutano ni kumkabidhi JPM uenyekiti,kuna haja gani kutumia mabilioni kwa ajili ya ajenda hiyo moja inayojulikana hatima?Unahangaika sana...
Waulize hao wajumbe Mwinyi alipewaje Uenyekiti na Nyerere alipong'atuka?...
Mkapa aliuoataje Uenyekiti wa CCM mara baada ya Mwinyi kung'atuka mwaka 1996?..
Kikwete akiupataje Uenyekiti wa CCM mara baada ya Mkapa Kung'atuka mwaka 2006?...
Usiyempenda kaja...
JPM atakuwa Mwenyekiti wa CCM hiyo tarehe 23/07/2016..Hakuna Mjumbe atakayethubutu kufanya hayo unayotamani yatokee...