Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

Hivi elimu yetu haitusaidii eeeh...hivi ukikaa kimya na kufanya majikumu yako inakuwaje..kwann mnawashwa na kuichokoza serekali...watandikwe hao bara'bara
Elimu yetu wewe na nani? Kama huoni wanachofanya polisi ni uvunjifu wa katiba basi huna hata hiyo elimu unayodai kuwa nayo. Na Kama kweli una elimu basi you are an EDUCATED IGNORANT.
 
Tofautisha kati ya mikutano ya siasa na mkutano wa siasa wa uchaguzi ambao hufanyika mara moja kila miaka 5 na wala si nchi nzima. Na nyie si mkafanye wenu pale Ufipa, mchaguane upya kidemokrasia mwachane na usultani?

Anyway, njooni Dodoma, badala ya kuisaidia polisi, polisi watawasaidia nyinyi ili mtie akili kichwani.
Kwahiyo katika akili yako unaona ni sahihi kwa polisi kuanza kuvichagulia vyama vya siasa aina ya mikutano ya kufanya bila kujali kuwa katiba inaruhusu yote ambayo polisi leo wanadai kuvizuia vyama vingine vya siasa?
 
Hivi kuvaa T shirt yenye maandishi ya kupinga Udikteta tena bila kumtaja jina mtu ni kosa? Ni tusi? Hao Polisi wamekisa kazi muhimu za kufanya, majambazi yanaua watu, ajali za magari na boda boda kila siku..........

Yaani wanawapa kiki tu hawa Vijana. Polisi na Watawala waache kujihisi.

Vv
 
Mbona kila siku tunasikia wanatusisitiza kutoa ushirikiano kwa jeshi LA polisi,na Mara zote wanatwambia bila ushirikiano wa wananchi Jeshi LA polisi haliwezi!!!???

Huu hautoki mioyoni mwenu bali mnadumisha fikra za wanaume wenzenu. Nyie sio wananchi bali muunganiko wa Bavicha, wananchi wapo mahali husika na wakiwa na jambo lao hawapaki mabegi na kulipiwa nauli wanasonga.
 
Tanzania bwana wanaona support ukiwauliza kwanini mnasupport hawana jibu makini,
Na wanaowachukia wanao support ukiwauliza nao hawana sababu za maana za kuwa Fanya wasisupport.

Only in Bongo tu.
 
CHADEMA ya Mbowe HAIWEZI ku capitalize madudu haya ya CCM sababu ni afadhali CCM kuliko wenyewe!!
CHADEMA haina dira wala mwelekeo na wanafanya siasa rahisi sana!
CHADEMA sasa hawan gut tena ya kukemea ufisadi sababu safu yao ya uongozi wana tuhuma hizo!

CHADEMA inahitaji restructuring kubwa sana
 
Ndio, 2020 ndio mwaka wa kufanya mikutano ya siasa nchi nzima. Ndo wakati wa kuwapandisha watu mizuka, mihemuko kwa siasa za kila namna ili kuitafuta Magogoni. Kwa sasa tujikite kufanya kazi, tuachane na blah blah.
Ni kifungu gani vile, kwenye katiba ya Tz?
 
Hawa jamaa si wamefungua kesi 3 Mahakamani - Mwanza na Dare es Salaam? Sasa kesi zitakuwa za haja gani kama wao wenyewe wanaweza kujiamulia kwa njia zao? Lakini pia, once this strategy fails will imply failure of legal battle and entire war hadi 2020! Kuna tatizo la uongozi Chadema. Wengine tayari tumeanza kushuhudia mwisho wao.
Ndoto njema
 
CHADEMA ya Mbowe HAIWEZI ku capitalize madudu haya ya CCM sababu ni afadhali CCM kuliko wenyewe!!
CHADEMA haina dira wala mwelekeo na wanafanya siasa rahisi sana!
CHADEMA sasa hawan gut tena ya kukemea ufisadi sababu safu yao ya uongozi wana tuhuma hizo!

CHADEMA inahitaji restructuring kubwa sana
Kama wataka kulia vile, au ndo style agnes m?
 
Back
Top Bottom