Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

Kuna uwezekano huo, wale jamaa ni wajinga kwelikweli.Ni mistake kubwa mno kuajiri the most failures kuwa police wetu.
Utabiri wake unaweza kuwa kweli mkuu.
 
Kama Lissu angekuwa kafa, hiyo michezo probably ingefanikiwa. Bahati nzuri/mbaya (depending on sides) Lissu is still alive and kicking. By the way, driver kaambiwa areport police (kupitia press) baada ya kusikia afya ya Lissu inazidi kuimarika. Driver alipaswa "kukamatwa" na kuhifadhiwa sehemu salama kwa "usalama wake" siku ile ile. Ni shahidi muhimu sana yule. Lakini wapi buanaa. Police wetu wameshtuka jana na kuanza kukamata Nissan Patrols nyeupe wanazoziona barabarani:D
Chakushangaza ilikuaje wamwache dereva hivihivi bila kujua chanzo?labda yeye ndio alikua amefyatuliwa risasi bahati mbaya zikampata lisu unapomwacha huoni waliokua wanamtafuta huenda wakamdhuru?au pengine wauaji walihisi dereva kawatambua what next kama yuko mtaani bila hata ulinzi wa mgambo?nimejaribu kuwaza kwa kuandika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu lissu ni smart kumuweka ndg yake awe dereva..ili kuondokana na kusalitiana..hiyo ya dereva kua suspected ni haiwwzekani..kumsaliti mmomba wake mlezi
 
Hivi mpaka Risasi 32 zinamwagika na Wahalifu wanatokomea bila bugudha Askali walikuwa hawajapata taarifa? Na Nan walikuwa zamu za Ulinzi Getini? Polisi Dodoma kuweni Serious bas tuwaelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuangalia au piga picha tuu hata utaona ya kuwa hata kumdhuru inawezekana kwa sababu kumbuka wakati Lissu akiwa Hospital Dodoma viongozi wa serikali na vyomba vya ulinzi na usalama vilikuwepo lakini hawakumuulizia hata kidogo. Walikuwa wanahangaika na roho ya Lissu masikini. Walikuwa wanakimbilia kumpeleka Lissu muhimbili. Duuuuuuuu!!!!!!!!!!!!.

Baada ya kuona hawajafanikiwa ndio wanamtafuta. Asindikizwe na watu anaowaamini.
 
Usalama wa dereva huyu uko hatarini kwakua watu wasiojulikana watahitaji kumtokomeza na sio siri kwamba watuwasiojulikana wako nje na ndani ya vyombo vyetu vya usalama
 
Kama Lissu angekuwa kafa, hiyo michezo probably ingefanikiwa. Bahati nzuri/mbaya (depending on sides) Lissu is still alive and kicking. By the way, driver kaambiwa areport police (kupitia press) baada ya kusikia afya ya Lissu inazidi kuimarika. Driver alipaswa "kukamatwa" na kuhifadhiwa sehemu salama kwa "usalama wake" siku ile ile. Ni shahidi muhimu sana yule. Lakini wapi buanaa. Police wetu wameshtuka jana na kuanza kukamata Nissan Patrols nyeupe wanazoziona barabarani:D
Unajuaje wameshituka jana? Baada ya kuona press release ndio unahukumu kuwa wameshituka jana. Kama je walikuwa wanamtafuta kwa njia zingine kupitia ndugu na maboss wake lakini hakutokea mwisho wakaona watumie vyombo vya habari?? Tatizo letu wa tz tunajua kila kitu lakini hata ukipewa kazi ya kupeleleza mwizi wa kuku tu wala huwezi kuja na facts zozote za maana!!
 
Kwanini polisi hawakumuoji dereva wa Lissu siku ya tukio?

Polisi walianzaje uchunguzi bila ya kujua jinsi tukio lilivyoanza tokea mwanzo mpaka mwisho? Na mtu pekee wa kuelezea alikua ni dereva wa Lissu?

Kwanini Polisi wanatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa wanamsaka dereva wa Lissu badala ya kumpigia simu na kufika kituo cha polisi kwa mahojiano?
''Good thinking'' kwanini hawakumhoji day one na kwanini kuhojiwa kwake kuwa ''Dramatic'' kwanini wapaze sauti kuhojiwa kwake ndivyo intelegensia inavyo fanya kazi?
 
Kama je walikuwa wanamtafuta kwa njia zingine kupitia ndugu na maboss wake lakini hakutokea mwisho wakaona watumie vyombo vya habari??
I presume uliisikiliza press yao na uliwasikia wakisema wamemtafuta koooote hapatikani na sasa wanatumia public means kumtafuta. Right?
 
`mtu pekee wa kuelezea tukio alikuwa dereva wa lissu' unamaanisha kwamba yeye alikuwa na pre- information? unaanzaje kumpeleleza mtu aliyenusurika na kifo on the spot, unategemea kupata taarifa za kueleweka?
Kwa nini wasimpe time ya kurelax ili wapate taarifa za uhakika?
 
Kama Lissu angekuwa kafa, hiyo michezo probably ingefanikiwa. Bahati nzuri/mbaya (depending on sides) Lissu is still alive and kicking. By the way, driver kaambiwa areport police (kupitia press) baada ya kusikia afya ya Lissu inazidi kuimarika. Driver alipaswa "kukamatwa" na kuhifadhiwa sehemu salama kwa "usalama wake" siku ile ile. Ni shahidi muhimu sana yule. Lakini wapi buanaa. Police wetu wameshtuka jana na kuanza kukamata Nissan Patrols nyeupe wanazoziona barabarani:D
Wenye Nisan nyeupe Dodoma saiv mnaendeshea chumban tu
 
Back
Top Bottom