Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,418
- 14,452
Apumzike kwa amaniNdiyo
Apumzike kwa amaniNdiyo
This is sad really. Shouldn't happen in the 21st century kiukweliTaarifa ambazo sijazithibitisha ni kwamba alitoka kujifungua watoto mapacha 2 ndio akapata complications zilizopelekea kifo chake
Mwanae kabisa.Ni ndugu na Queen mlozi wa ccm?
RIP
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi.
Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 46 cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma ambapo amesema taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Dkt. Tulia amesema ““Leo asubuhi tumepokea taarifa kwamba Mh. Dkt. Shogo Richard Mlozi ambaye tulimchagua kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki hatunae tena, hii ni taarifa ya awali tutakapopata taarifa za ziada tutawataarifu tusimame kaa dakika moja tumpe heshima zake za mwisho”
Pia soma Mhe. Dkt. Shogo Mlozi Ashiriki Semina ya EALA Women Caucus Bujumbura
Au bado yale mambo ya utabiriNilikuwa simjui ila baada ya kuiona tu hii Picha yake na kutumia Utaalam wangu fulani nimeshajua nini Kimemuondoa.
👏👏👏alikua mwalimu wangu huyu open enzi hizo nakomaa nashule kipindi hicho sijajua kama elimu ya bongo ni pyramid scheme ,
Alikua mtu poa sana kama humjui ni lazima umchukulie poa maana alikua ni mdada mdogo sana ila na PhD na ni head of department halafu yupo simple tu tena ni easy going.
Our first encounter nilienda kufatilia research yangu department nikakutana mdada mrembo akanikaribisha nikamwambo mambo vp naomba kumuona Dr Fauzia nikiamin huyo dada ni secretary wa Dr fauzia nisijue kwamba Dr fauzia kahamishwa department na uyo dada ninayeongea nae ndio top manyota akiniuliza shida yako nini nikamwambia akaniuliza jina nikamwambia akachek mezan kwake kumbe nimefika pale alikua live na proposal yangu akaniambia kabadilishe research title halafu uje, nilimaindi mno ila sikumuonyesha nilitoa tabasamu la kishamba nikaondoka nikaenda kuambia wahuni wangu kuna kamanzi kanazingua balaa kamenibadlishia title na nilikua hatua za mwisho kabisa niingie field wadau wakaniamnia sio kamanzi kale yule Dr (phD) na ndio HOD wetu nikawa na adabu pia nikashukuru sikuonyesha uswahili , nilichelewa kupeleka marekebisho akanitumia email ikiwa title mbalimbali nichague moja halaf nimpelekee nilivyopeleka ndio akanisanua kwamba title yangu ingenitesa mno nisingepata data za kutosha na muda haukua upande wangu nilishangazwa sana level ya utu aliokuanayo mdada yule
hivi ndivyo nitakavyomkumbuka Dr Shogo Mulozi RIP
Ni mtoto wake kabisa! Queen ni Mama yake na MarehemuNi ndugu na Queen mlozi wa ccm?
Kweli kabisa mkuu,muda mfupi tu uliopita tulimpoteza mbunge mwingine kwa complication za uzazi, Irene Ndyamkama, rip all.Vifo vinavyotokana na uzazi vinahuzunisha sana. R. I. P.
Hivi yupo wapi huyu maza?Aliwahi kuwa mkuu wa mkoa Tabora na nilifanya naye kazi flani miaka hiyoNdiyo na yule maza wa CCM Queen Mlozi
Kumbe ni wa Mbeya?Katika kabila ya wasafwa ukoo wa Mlozi ndio unaongoza Kwa kuwa na wasomi ma doctor wenye PhD wengi
Ni wengi sana
Poleni wafiwa
NdioKumbe ni wa Mbeya?