Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,453
- 3,517
- Thread starter
- #21
Maelezo yako yananionyesha umri wako hujawahi kupitia matatizo na inawezekana familia yenu ni waganga na wachawiUnamuomba nani huyo wakunionesha? Hakuna wa kukuombea upone maradhi au upate kazi Wala utajiri hayupo, huyo anaekuombea anakua anakutapeli mchana kweupe