Bado hujawahi kujibu hoja ya uzi ulipoanzia, wewe ni BUMUNDA unakwepa kujibu hoja ya uzi ulipoanzia,POPOMA MKUBWA weweMithali 26:4 Usibishane na mpumbavu usije kuwa sawa na yeye
Bado hujawahi kujibu hoja ya uzi ulipoanzia, wewe ni BUMUNDA unakwepa kujibu hoja ya uzi ulipoanzia,POPOMA MKUBWA weweBado hujawahi kujibu hoja ya uzi ulipoanzia, wewe ni BUMUNDA unakwepa kujibu hoja ya uzi ulipoanzia,POPOMA MKUBWA wewe
Anastahili kuwa Waziri wa AfyaView attachment 3168145
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.
Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka 2015 lakini yeye aliyafikia mwaka 2013. Hivyo Rais JK akaalikwa kwenye mkutano wa UNGA kwa ajili ya kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa.
Kama kweli Rais Samia anataka nafasi hii ibakie Tanzania, basi hiyu dada ambaye ni same class na Ndugulile (RIP), basi ndiye anafaa kuliko Mtanzania mwingine yeyote.
🤣🤣😀🤣😀 Hapo una thibitisha kuwa wewe ni BUMUNDA 😀😀Bado hujawahi kujibu hoja ya uzi ulipoanzia, wewe ni BUMUNDA unakwepa kujibu hoja ya uzi ulipoanzia,POPOMA MKUBWA wewe
kubwa la MABUMUNDABNA MAPOPOMA 🤣🤣😀Hapo una thibitisha kuwa wewe ni BUMUND
I can see you have very serious problem upstairs 🤔🤔🤔kubwa la MABUMUNDABNA MAPOPOMA
Dini Yake?Karibu wote mnaochangia hamjui chochote kuhusu namna hiyo nafasi ya WHO inavyogombaniwa na kumpata mshindi, mnadhani ni special site for Tanzania kisa aliyekuwa anaishikiria alikuwa mtanzania. Siyo nafasi ya kurithishwa kwa misingi ya kinchi ikiwa aliyekuwa anaishikiria ataandoka.
Kwa mfano, kwa hizo sifa zilizoelezwa hapo (kama ni kweli), basi haya yangepaswa kuwa yametokea;
1. Huyo mwanamama angeingia kwenye mchuano wakati ule ule Dr. Ndugulile akigombea. Why? Nafasi ilikuwa wazi kugombaniwa na mtu yoyote.
2. Huenda Dr. Ndugulile asingefanikiwa kumpiku huyo mama kwa sifa za kimataifa kuweza kutoboa kwenye kinyang'anyiro cha WHO.
Swali la kujiuliza;
Huyo mwanamama alikuwa wapi wakati Dr. Ndugulile akigombea?
Jibu linaweza kuwa rahisi sana. Jibu ni rahisi sana, Nia, ujasiri, mipango, mikakati na Connection.