Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 6,723
- 10,920
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.
Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka 2015 lakini yeye aliyafikia mwaka 2013. Hivyo Rais JK akaalikwa kwenye mkutano wa UNGA kwa ajili ya kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa.
Kama kweli Rais Samia anataka nafasi hii ibakie Tanzania, basi hiyu dada ambaye ni same class na Ndugulile (RIP), basi ndiye anafaa kuliko Mtanzania mwingine yeyote.