Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,022
- 678
CCM zanzibar au yooooooooooooooooooooooote na akina lile la musomaDK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024.View attachment 2993905
Mwinyi hana mvuto wa kisiasaDK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024.View attachment 2993905
Mbona mmerudia hizi post Moderator?DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024.View attachment 2993905
Kwanini?Ndio maana ni rahisi rasilimali za Tanganyika kuuzwa na raia wa Zanzibar
Wewe unao?Mwinyi hana mvuto wa kisiasa
Amekacha nini?Maza ameanza kukacha, nadhani kuna kitu hakiko sawa
UWT tulia wanaume tujadilianeWewe unao?
Naona UWT mmepata Katibu mpyaAmekacha nini?
Chair na Makamu ni raia wa nchi nyingine, wajumbe ni wanafiki hawawezi kukataza uuzwaji wa maliKwanini?