Dkt. Mwinyi aongoza kikao cha Kamati Kuu CCM

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
810
513
DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024.
IMG-20240519-WA0030.jpg
 
DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024.View attachment 2993905
CCM zanzibar au yooooooooooooooooooooooote na akina lile la musoma
 
Back
Top Bottom