Hata kama anakwepa ukweli lakini amejibu kiufundi sana. Ile tume ilijaa waandishi ambao sio wataalam wa uchunguzi wa jambo lile la jinai. Pili baadhi ya hao wanahabari hawana uhalali wa kuwa ktk hiyo tume sababu siku moja kabla waliandika habari yenye muelekeo wa kumshitaki/kumhukumu mtuhumiwa kwa makosa mengine anayotuhumiwa. Rejea bandiko la Jerry Murro la karibuni kuhusu tume husika.Je report ya kamati ya nape nayo ni maneno ya mtandao?
Kajibu vizuri sana. Maana huwezi kufanyia maamuzi malalamiko ya upande mmoja pekee na ambao ndiyo wenye kutoa taarifaPhD ya cheti/ karatasi siyo ya kichwani. Kichwani in Bashite+
Unataka akifika ofisini afanye nini?? Maswali mengine yapo wazi na majibu yake yapo wazi kama unaamini Mwakyembe ataleta positive changes zozote kwenye media +sports unahitaji maombi.Maswali mengine dah
Hapo hata ofisini alikuwa hajafika.
Kazi ipo kwa kweli
Nyinyi ndiyo wa ajabu. Mnataka Mwakyembe atende kazi kwa hisia zenuHapa ndipo tulipofika Tanzania yetu ya maajabu...
Mzee umeamka kutoka usingizini.Mwakyembe ni mwanahabari mzoefu na mwanasheria makini sana. Hawezi kutoa majibu kwa taarifa ambayo upande wa pili hajaulizwa. Unakumbuka alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Richmond? Alimuita Lowassa kwa wito maalumu, Mzee wa watu akalala mbeleAnadhalilisha wasomi huyu ..!
WanaJF,
Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amejibu swali la waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema leo baada ya kuapishwa katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisema maneno yafuatayo juu ya sakata hilo lililotikisha vichwa vya habari nchini kwa juma moja sasa.
"Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi"-Waziri Mwakyembe
Kajibu vizuri au anapiga blah blah tu......Sasa ya upande pili ataipataje? Na muhusika ametumia haki yake kikatiba hataki kuhojiwa.Kajibu vizuri sana. Maana huwezi kufanyia maamuzi malalamiko ya upande mmoja pekee na ambao ndiyo wenye kutoa taarifa
Njaa mbaya sana....Nyinyi ndiyo wa ajabu. Mnataka Mwakyembe atende kazi kwa hisia zenu
Bora wampige chini uanachama TLSAnatia kinyaa hata kumtazama!!! heri ile sumu ingemalizia tu kazi yake maana ilipoishia inamwacha anadhalilika tu!!!