Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ulikuwa uteuzi wa Rais Samia au uteuzi wa state?

Ujumbe ulifika kutokea Karagwe ukapitia Kongwa na ukamalizikia Ruangwa watumiwa ujumbe wawili tayari wamepewa dose yao mmoja wanammalizia October.
Hivi zile lakini alizozitamka Mara tatu na akajizuia kulitamka Jambo lile ..... Ujumbe ulishawafikia wahusika ?
 
Uteuzi wa mgombea mwenza taratibu zake kwa mujibu wa CCM zinajulikana.

Hayati Magufuli baada ya kupitishwa rasmi, Mgombea urais kupitia CCM, alipewa majina kadhaa ( idadi sijui) ili achague atakayesimama nae kama mgombea mwenza, akampendekeza Samia.

Magufuli kafa, SAMIA karithi urais kwa matakwa ya katiba.

Swali langu ni kuwa; Je Samia alipomteua Dkt. Mpango, alimteua yeye kama yeye? au alipewa orodha ya majina ili amchague amtakaye?

Na Kama alipewa options ili apendekeze jina,
Je, alipewa hayo majina na akina nani?

Je, procedures za Rais kumteua Vice president zinafanana na zile za Presidential candidate kumteua Running mate wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo
Alipewa achague ila usiulize kapawa na nani.
 
Back
Top Bottom