Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ulikuwa uteuzi wa Rais Samia au uteuzi wa state?

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
677
854
Uteuzi wa mgombea mwenza taratibu zake kwa mujibu wa CCM zinajulikana.

Hayati Magufuli baada ya kupitishwa rasmi, Mgombea urais kupitia CCM, alipewa majina kadhaa ( idadi sijui) ili achague atakayesimama nae kama mgombea mwenza, akampendekeza Samia.

Magufuli kafa, SAMIA karithi urais kwa matakwa ya katiba.

Swali langu ni kuwa; Je Samia alipomteua Dkt. Mpango, alimteua yeye kama yeye? au alipewa orodha ya majina ili amchague amtakaye?

Na Kama alipewa options ili apendekeze jina,
Je, alipewa hayo majina na akina nani?

Je, procedures za Rais kumteua Vice president zinafanana na zile za Presidential candidate kumteua Running mate wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo
 
Kitu hujui uliza tu
 
Kwani heading inasomekaje hapo juu...
Au umelewa.
Hapo ndipo ulipoboa. Yeye hakumchagua Samia bali Samia alipitishwa kinyemela na JK
 
Mabeyo alisema alikuwa na Magufuli hospitalini hadi umauti ulipomkuta. Kwa wanaokumbuka, siku ya mazishi ya Magufuli, Mabeyo alisema kuwa alikuwa na jambo la kumfikishia rais personally.

Think twice.
Hivi zile lakini alizozitamka Mara tatu na akajizuia kulitamka Jambo lile ..... Ujumbe ulishawafikia wahusika ?
 
Uteuzi wa mgombea mwenza taratibu zake kwa mujibu wa CCM zinajulikana.

Hayati Magufuli baada ya kupitishwa rasmi, Mgombea urais kupitia CCM, alipewa majina kadhaa ( idadi sijui) ili achague atakayesimama nae kama mgombea mwenza, akampendekeza Samia.

Magufuli kafa, SAMIA karithi urais kwa matakwa ya katiba.

Swali langu ni kuwa; Je Samia alipomteua Dkt. Mpango, alimteua yeye kama yeye? au alipewa orodha ya majina ili amchague amtakaye?

Na Kama alipewa options ili apendekeze jina,
Je, alipewa hayo majina na akina nani?

Je, procedures za Rais kumteua Vice president zinafanana na zile za Presidential candidate kumteua Running mate wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo
Uteuzi wa state
 
Magufuli hakumchagua Samia. Magufuli alimchagua Hussein Mwinyi.

Akapangiwa Samia.

Check your sources.
 
Back
Top Bottom