Dkt. Hussein Mwinyi ndiye atakayekuwa mgombea mwenza wa CCM wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo 2030

Tatizo sio uzao gentleman,
Ile ya muhimu kama Taifa ni kuhakikisha tunaongozwa na viongozi waadilifu wenye uzoefu na nguvu za kuhakikisha Taifa letu lina piga hatua za kimaendeleo kisiasa, kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa,

masuala ya ubaguzi wa na dhana potofu ya uzao, haiwezi kulikosesha taifa letu viongozi waandamizi madhubuti 🐒
Sawa
 
Tuwe na akiba ya maneno. Hata hii ya 2025 wahusika wanajua kuwa bado "haijaisha".
Ya 2025 yamekwisha na kumalizika kwa mafanikio makubwa sana gentleman,

hayo niliyoyaeleza Hapo juu ya 2030 ndugu mdau. Huna haja ya kubabaika na vitu ambavyo vimeshaamuliwa kwa umoja wa kitaifa CCM 🐒
 
Inafikirisha yaani ashuke cheo toka Urais mpaka Umakamu
nani anashuka gentleman kwenye utumishi wa umma?

there is no way a powerful and wise young man like President Mwinyi can retire at a middle age

Mgombea mwenza urais wa JMT 2030🐒
 
Wewe Fala badala ya kuwaza pesa za ARV mtazitoa wapi unawaza mambo ya uchaguzi 2030....wewe Fala Una Akili kweli?
pole gentleman,
kwa Neema na Baraka za Mungu kama Taifa tutahakikisha mnapata dawa hizo muhimu za kudhoofisha na fubaza tatizo husika.

Muhimu ni kujiepusha na hasira na mihemko isiyo na tija.

Calm down my friend 🐒
 
Huu Uchaguzi utawatoa Jasho sana, Hapo ndio mtaona Umuhimu wa Kuweka Potential Candidate na Mwenye Kukubalika Na Umma,
Muda huu si mmeamua Bora liende sisi tunawachora tu
 
Huu Uchaguzi utawatoa Jasho sana, Hapo ndio mtaona Umuhimu wa Kuweka Potential Candidate na Mwenye Kukubalika Na Umma,
Muda huu si mmeamua Bora liende sisi tunawachora tu
Gentleman,
ya 2025 tayari yamekwisha kwa mafanikio makubwa sana, imebaki kukamilisha tendo la kisheria na kikatiba hapo Oct 2025.

2030,
mpango ndio kama niliyoyaeleza hapo juu kinagaubaga 🐒
 
Wewe ni mjinga sana.
Angalia hata kichwa cha habari na habri yenyewe.
relax and calm down gentleman,
Mambo ya 2025 yamemalizika kwa mafanikio makubwa sana majuzi pale Dodoma,

kukamilisha ratiba kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi ni Oct 2025.


Ya 2030 kuendelea ndio kama ambavyo ukweli unajiexpose kwenye hoja mahususi hapo juu,

hakuna haja ya mihemko wala makasiriko gentleman 🐒
 
Hakuna mtu mwenye garantii yakuishi miaka mitano mbele je wamechukua ahadi hiyo kwa mola wao!
kwa Neema na Baraka za Mungu, kama wanadamu wenye imani kwa Mungu, kwa akili, utashi na karama alizotujalia Allah,

ni muhimu kujiapanga na kujiandaa kwa leo kesho na siku zijazo zao uongozi wa Taifa letu na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu bila kua na uoga 🐒
 
Masta huwezi kua unapata supu ya samaki masta... wanaokula supu ya samaki mara nyingi wana akili nyingi masta... Labda kama unakula changu... Ila asante sana!
habari za machangu sinaga gentleman,

hata hivyo,
ni muhimu sana kula vya kutosha ukipata fursa, mengine ni dhana tu ambazo hazina athari yoyote kijamii.

siku ukikatiza makao makuu ya nchi karibu sana aise ila supu ya kuku inakinaisha haraka sana 🐒
 
habari za machangu sinaga gentleman,

hata hivyo,
ni muhimu sana kula vya kutosha ukipata fursa, mengine ni dhana tu ambazo hazina athari yoyote kijamii.

siku ukikatiza makao makuu ya nchi karibu sana aise ila supu ya kuku inakinaisha haraka sana 🐒
Asante gentleman
 
Back
Top Bottom