Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,425
- 25,260
Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo,
Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM,
wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za kitaifa nchini, wawe wavumilivu, wastahimilivu na wenye subra, na wakiona kuna ugumu wa kufanya hivyo, basi wawe huru kutumia majukwaa mengine ya kisiasa kutimiza hamu, nia na ndoto zao za walau kugombea urais wa Tanzania.
So,
Come 2030, CCM itakua na wagombea uongozi very powerful, very capable, very popular na wenye experience ya kiwango cha juu sana katika kazi ya kuongoza nchi kwenye nafasi na ngazi ya urais wa Tanazania.
Na kwahivyo,
my friends, ladies and gentlemen,
siasa ni kujipanga na kuthubutu tu unatoboa kiulaini kabisa.
Uongozi ni baraka kutoka kwa Mungu.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
wajumbe tushikamane kushika dola.🐒
Mungu Ibariki Tanzania