Leo wametimuliwa maboss 3 TCRA, Boss 1 wa TAMESA. source ITV leo jioni. Wote ni wakristo. In my view tusiingize mambo ya dini ktk mambo mhimu yenye masilai makubwa kwa taifa. Mambo ya dini yabaki private affair. Itakuwa ni kutoitendea haki nchi yatu kwa kuacha mafisadi waendelee na ufusadi wao eti kwasababu ya dini zao.Serikali ina vyombo vilivyobobea katika kubaini ufisadi ktk taasisi zake.