kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,049
Heri yako wewe usiye yatima! japo nao hawakutaka kuwa yatimaWazile- wasizile shauri yao, nani anayejali? tuna mambo mengi ya kufanya siyo hayo ya kubembelezana kama watoto yatima
Heri yako wewe usiye yatima! japo nao hawakutaka kuwa yatimaWazile- wasizile shauri yao, nani anayejali? tuna mambo mengi ya kufanya siyo hayo ya kubembelezana kama watoto yatima
Hicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.
WATOKE TU! hakuna linaloharibika.... na POSHO wasipewe pia...Kila anapokuwepo Dk. Tulia, Ukawa wanaondo na hata kusababisha protokali kuvurugika. Ni kwa kuwa, Ukawa wameweka msimamo wa kutoshirikiana ama kutoshiriki shughuli ambayo yeye (Dk. Tulia) anashiriki.
Hivi ndivyo ilivyotokea leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma muda mfupi baada ya Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu kumaliza kuzindua Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano.
Baada ya Waziri Mkuu kumaliza hotuba yake na kufuatia zoezi la ugawaji vitabu vinavyoelezea mpango huo kwa ajili ya kujisomea katika taasisi na baadhi ya viongozi mbalimbali.
Katika uzinduzi huo mshehereshaji aliyefahamika kwa jina moja la Mzee Mavunde, alianza kuita viongozi mbalimbali ili kuchukua vitabu kwa ajili ya taasisi ama makundi yao.
Ulipofika wakati wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwenda kuchukua kitabu kuwakilisha kambi hiyo, mshereheshaji alimwita mnadhimu mkuu wa kambi hiyo ambapo hakutokea.
Baada ya kuonekana kwamba, hakuna anayejitokeza kupokea kitabu hicho, haraka haraka Steven Hillary Ngonyani,Mbunge wa Korogwe Vijijini maarufu kwa jina la Prof. Maji Marefu alichomoka moja kwa moja na kwenda kupokea kitabu cha mpango huo wa miaka 5 kwa niaba ya kambi ya upinzani bungeni.
Kitendo hicho kiliwafanya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao walikuwa ukumbini hapo pamoja na wageni wengine kuangua kicheko.
Ukawa wamekuwa wakitoka bungeni pale Dk. Tulia anapoongoza bunge hilo. Hatua hiyo inatokana na malalamiko yao kwamba, kiongozi huyo wa Bunge anaendesha taasisi hiyo kwa kupendelea CCM.
Heri yako wewe usiye yatima! japo nao hawakutaka kuwa yatima
Mpaka kieleweke.....dk tulie akawe private secretary wa baba Jesi
Mkuu ukigoma kuchukua haikuzuii kusomaHicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.
Haaa haaa umeona eeehwengi wa ccm hata kukisoma na kuelewa pengine hawafikii hata 15% ya idadi yao
Sawa kabisa. Kumtoa Mh. Tulia hapo sawa na kumtoa Mbowe uenyekiti kwa kura. Haiwezekani haiwezekani.... FankuuuroLazima watanyooka tu, wamefungiwa nje lazima warudi ndani...! Wakiingia ndani wanamkuta Tulia Katulia kitini..! Nashauri vikao vyote nyeti viongozwe na Tulia.
Anaujua moto waoLazima watanyooka tu, wamefungiwa nje lazima warudi ndani...! Wakiingia ndani wanamkuta Tulia Katulia kitini..! Nashauri vikao vyote nyeti viongozwe na Tulia.
Ndio mnayopanga kwenye basi la mwendo kasi?WATOKE TU! hakuna linaloharibika.... na POSHO wasipewe pia...
Lakini dawa inawaingiaTushazoea tabia yenu ya kususa susa hamjaanza leo........ni kama maigizo vile hakuna jipya........mkimaliza hili anzeni igizo jingine.