Hebu toa ujinga wako hapaWanabodi, kwa vile kesho nitakuwa na Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu sekta ya Habari, nikipata muda pia nitaulizia kuhusu issue hii ya kihabari, ila na wewe, kama una swali lolote, liulize hapa
Una Swali Lolote kwa Waziri wa Habari, Dk. Harrison Mwakyembe?, Atakuwa Live Star TV, Kuzungumzia Sekta ya Habari na Janga la Corona, Uliza Chochote! - JamiiForums
P.