Dk. Mwaka afutiwa kibali cha utoaji tiba asili na tiba mbadala, wengine wasimamishwa miezi 6

sababu nini? kodi halipii?
kama ni kweli kuna sabab nyingi,
1;kuendelea kujiita yy ni dk
2;kujitangaza kuwa anatibu magonjwa mengi hasa yaliyoshindikana
3;kutumia tiba za kawaida badala ya tiba mbadala
4;huenda pia hajajitoshereza kuitwa dr, maana amekuwa akijiita hvyo wakati anajua kuwa yy si dr..
5...........??
6..............
7...........
 
Serikali imefungia kituo cha tiba asilia cha Foreplan kinachomilikiwa na .

A very commendable action but delayed one. Vibao vyote vya waganga wa kienyeji viondolewe mitaani pia. Hii itawalinda hata albino.

Serikali ipige marufuku watu kwenda kwa waganga usiku. Mambo ya giza yana madhara makubwa. Vibali visitishwe nchi nzima vihakikiwe upya.

Well done govt.
 
Kesho utasikia wamekifungulia!! Halafu waendeleze usanii wao wa kudai kwamba hata kama mwanamke hana ovaries wao wana uwezo wa kutumia utaalamu wa stem cells kuziotesha. Akina mama ndio victims wa waganga wa tiba mbadala - wana waamini kweli kweli!
 
Hawa jamaa hata redioni walitufanya usiku tusisikilize miziki nyororo tukeshe tukiwasikiliza wao......
Ila nao walizidi aisee. Eti dawa moja autakuta wanatangaza inatibu magonjwa zaidi ya 40? Halafu wanajieleza kana kwamba wao ni wasomi wanaojua mambo kuliko hata maprofesa wa pale muhimbili. Fungia wote twende hospitali. Hizo tiba mara nyingi ni utapeli wengi hawaponi.
 
Back
Top Bottom