Hapo Bashite anasali nini?huyu nae bashite tu
Ha ha ha, Mahanga lipa tuu fine yaishe. Kama hiyo PhD INA utata lakini hujadanganya jina sio kosa lako ni kosa la chuo kilichokutunuku.Mjadala huu CHADEMA wanachungulia na kusepa
Hii ya kuhoji PhD ya Bwana Mhishiwa sana tayari limehojiwa..... na matokeo tumeyaona.Tunapo elekea watu wenye akili timamu wanaanza kuhoji uraia wa Magu n.a. PhD yake.. Ngoja niende katerero
Ati nini?Sijui Benny yuko wapi jamani ange tusaidie hapaPh.d feki