chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,937
- 27,069
Kama bado hujasema basi utasema, wanachato wanajengewa maktaba kubwa kabisa kama Ile ya makao makuu Dar es salaam. Serikali imeshaanza kumwaga mabilioni.
Hayo yamesemwa na mbunge wa Chato dk Kalemani wakati akitoa neno katika mkutano wa hadhara wa Makonda. Kalemani ameeleza kwamba, baada Rais kumuuliza anataka wanachato wafanyiwe nini, yeye aliomba wajengewe maktaba kubwa kabisa Afrika Mashariki
Hapa ndipo unahoji uelewa wa viongozi wetu. Hivi kweli chato unaenda kuwajengea maktaba ya mabilioni, unaijaza vitabu, ili nani akasome hivyo vitabu? Kweli hayo ndio mahitaji ya chato? Let's be serious, hivi kuna mwanachato aliwahi kulilia maktaba?