Diwani wa kata ya Makiba Meru, Emmanuel Pendaeli avuliwa uwanachama wa CHADEMA

Hili povu si la nchi hii,yaani unajitoa ufahamu ukitegemea watu watapanic ndio kwanza tunawacheka kwa dharau!Misukule hamna namna,rudini kujipanga upya!
hahahahahaha, umerudi kwenye kiswahili siyo... ningeshangaa mayai ya malkia na nyumbu wapi na wapi
 
Endeleeni kutukanana wenyewe kwa wenyewe,hahaaa leo mwana lumumba mwenzenu mnamuita Nepi!!!!!!!Ndio akili hizi za "u turn"
 
Hili povu si la nchi hii,yaani unajitoa ufahamu ukitegemea watu watapanic ndio kwanza tunawacheka kwa dharau!Misukule hamna namna,rudini kujipanga upya!
kama Mwenyekiti wenu bashite kichwani,,, vipi kuhusu wafuasi kama wewe....
 
Mkuu;
Niliona uzi humu kuwa chama kubwa inataka kuwavua uongozzi/uanachama wabunge flani na vigogo 11. Nikasema, hizo ni ndoto za mchana peupe. Tangu hicho chama kongwe kianzishwe, watupe hata mmoja tu alovuliwa ubunge. Yule mmama alijivua mwenyewe tu. Angegoma wangenywea. CDM ni moto wa kuotea mbali. Hakuna mkuu kuliko chama
umeongea ukweli mkuu
 
Endeleeni kutukanana wenyewe kwa wenyewe,hahaaa leo mwana lumumba mwenzenu mnamuita Nepi!!!!!!!Ndio akili hizi za "u turn"
ni sawa na nyumbu nyie mnavyomuita Lowassa shujaa wakati mwulimwita fisadi....
 
hahahahahaha, umerudi kwenye kiswahili siyo... ningeshangaa mayai ya malkia na nyumbu wapi na wapi

Kweli mmeishiwa,ona unavyohangaika na irrelevant issues!!!Lumumba inaua bongo za vijana kufikiri kwa buku 8
 
Chadema hakuna democrasia, hivi mtu akijiuzuru nafasi yake mnamfukuza uanachama?
 
Back
Top Bottom