Dirisha dogo la usajili lipo wazi, Yanga fanyia kazi maeneo haya

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
6,641
15,868
Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa
Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo

1. Kiungo mkabaji
Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki
Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa
Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa mkono wa kwaheri
Nenda pale Maniema union mlete Bakasu Banka, jamaa anakaba hadi kivuli ana akili ya mpira yani amekamilika hasa

2. Beki wa kushoto
Boka ana majeruhi ya mara Kwa mara
Mtaani tunasema ana miguu ya vioo au glass
Hapatikani msimu mzima na pia hana kipaji sana zaidi ya speed 🚅
Nenda Mazembe mlete Ernest Luzalo Sitta, huyu jamaa ni bonge la beki
Boka mteme

3 upande wa striker
Mteme Musonda
Msiongeze striker Dube na. Mzize, wanatosha
Kuna tetesi kuwa mshamalizana Fahad Bayo
Hapa naona mlikurupuka sana.
Dube ni striker ambaye ana kila kitu, pale Yanga anakutana na presha

4 sajili beki ya kushoto wa ndani
Kibabage amefeli
Mlete Yahaya Mbegu5

5 wapeni mkono wa kwaheri
Kibwana, Nkane na Musonda

Yanga bingwa
 
Huo usajili kwaajili ya mashindano ya ndani au pamoja na CAF? maana huyo beki wa TP Mazembe hawezi kutumika tena kwenye michuano ya klabu bingwa akiwa na timu nyingine.
 
Hata baada ya dirisha dogo la CAF
 
Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa
Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo

1. Kiungo mkabaji
Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki
Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa
Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa mkono wa kwaheri
Nenda pale Maniema union mlete Bakasu Banka, jamaa anakaba hadi kivuli ana akili ya mpira yani amekamilika hasa

2. Beki wa kushoto
Boka ana majeruhi ya mara Kwa mara
Mtaani tunasema ana miguu ya vioo au glass
Hapatikani msimu mzima na pia hana kipaji sana zaidi ya speed 🚅
Nenda Mazembe mlete Ernest Luzalo Sitta, huyu jamaa ni bonge la beki
Boka mteme

3 upande wa striker
Mteme Musonda
Msiongeze striker Dube na. Mzize, wanatosha
Kuna tetesi kuwa mshamalizana Fahad Bayo
Hapa naona mlikurupuka sana.
Dube ni striker ambaye ana kila kitu, pale Yanga anakutana na presha

4 sajili beki ya kushoto wa ndani
Kibabage amefeli
Mlete Yahaya Mbegu5

5 wapeni mkono wa kwaheri
Kibwana, Nkane na Musonda

Yanga bingwa
Bingwa bia!...Hivi Farid bado yupo?.alikuwa mchezaji muhimu sana kwa Kocha Nabi.
 
Huo usajiri ulioainisha auwezi kuisaidia yanga kwa sasa .
Sababu hao wachezaji awawezi cheza michuano ya caf.
Wlishacheza huko awali yaani Kwa Sasa upoteze pesa kwa michuano ya ndani hapana.
 
Bingwa bia....
Hivi mna hela kweli za kusajili? Maana mna madeni kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom