TANZIA Director Khalfani afariki Dunia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia

Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi (Stroke) upande wake wa kulia

Enzi za Uhai wake alijipatia umaarufu kwa kuongoza Video za Wasanii kama Aslay, NavyKenzo, Christian Bella, Baby Madaha, Chinbees, Shilole na Linah

IMG_1004.jpeg
 
View attachment 2981038
RIP
 
What? Oh masikini Khalfan mdogo sana!
 
RIP Khalfan nilipenda sana kazi zako za viwango vya kimataifa.

Stroke ama kiharusi hutokea ghafla tu nafikiri ni kama fault tu hujitokeza mwilini na huwa mbaya zaidi kama itapiga kichwani maana hupasua mishipa midogo na kusababisha damu kuvilia kichwani.

I lost my aunt on early 2021 sababu ya same case ya stroke iliochapa kichwani. Haikumaliza week tulienda kuzika. Inaumiza sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom