TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Tupe records, ana ndo ngapi hadi sasa.

Mm kama sikosei namkumbuka kwa vitu vikuu 3
1. Alikuwa clouds hapo kabla
2. Alikuwa anahusika na kuwaunganisha Dotto Magari ahuxumkechepuko wake waliozaa nae mtoto, Dotto alikuwa hatak kuhudumia
3. Aliingia bifu na mdada fulani nimemsahau wanalingishiana kwamba mm nina hiki na kile ww huna.


Sio dida wa mchops huyu kweli enzi hizo
R.I.P
Namba moja hapo umepindisha kidogo, Didah hajawahi kufanya kazi Clouds na hata yeye mwenyewe alishasema katika vitu hatokuja kufanya basi ni kwenda kufanya kazi Clouds Media Group.

Rejea mahojiano yake na Jonijoo katika kipindi cha the bartender (kama nimepatia kuandika).
 
Back
Top Bottom