Dickson Job arudishe posho zote alizolipwa kwenye safari ya Afcon Ivory Coast

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
452
1,797
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC.

Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa jeshini alipaswa kunyongwa.

Job alikuwa vitani akiipambania benders ya nchi, tulikuwa na mchezo mgumu ambao tulihitaji ushindi, na Job ndio alionekana mtu wa kubeba mikoba ya ushindi cku ile.

Here's Morroco anapanga kikosi na kuweka mikakati, Job anawarudisha nyuma wenzake akisema hawezi kucheza beki wa kulia.

Job alipangwa nafasi hiyo kwa sababu amekuwa akicheza nafasi hiyo Yanga na hajawahi kukataa.

Job anamuona Hersi ni mungu mtu kuliko Taifa.

Yaani nchi imekulipa ukafie vitani wewe unafika vitani unasema sipigani kwa sababu silaha hii sio nzuri, bwege kweli wewe.

Huyo Lusajo Mwaikenda mbona alikuwa akicheza beki wa kati Azam na ss amekubali kucheza pembeni.

Halafu nyie waandishi wa habari mmekosa kabisa ubunifu, stori hii mlitakiwa kuipata tangu siku ile ile na mngepata subscribers wa kutosha, leo mnatuletea vioja hapa.

Ilitakiwa Taifa lijue kuwa kule vitani kulikuwa na wasaliti aina ya Dickson Job ili watanzania tuiombe serikali iangalie uraia wake huyu mtu.

Siamini kama huyu dogo ni mtanzania, maana sura yake sijawahi kuielewa kabisa kabisa.

Huyu arudishe posho na marupurupu yote kwa sababu hakufanya kazi yoyote zaidi ya kwenda kushuhudia tu, ni afadhali nafasi yake angechukua Mbwiga Wa Mbwiguke tungejua moja.

Pili, Tanzania ina wachezaji wazuri kuliko Job, pale Singida kuna defendant mkatili sana anaitwa Laurian, Namungo kuna watu, Mlandege kuna watu, Kagera Sugar kuna vitasa, Job ni nani asumbue nchi, arudishe fedha za watanzania.
 
Ingekuwa NI Amri yangu, wachezaji wote wa Yanga wangeachwa wafocus mechi na Mamelodi.

Mwana Samatta ni professional player anajielewa Sana kukataa safari hizi za kipuuzi zisizo na tija.

Samatta amekataa kiungwana lakini ukweli unabaki palepale safari wangepewa nafasi wachezaji wengine wasiokuwa na majukumu ya kimataifa na club zao.
 
Dickson Job kuna mengi nyuma ya yeye kukataa kucheza eneo la namba mbili, kwafaida ya Soka letu kwa sasa ameanua kukaa kimya.
Kwa izo akili zenu mlizoshikiwa na Jemedari kilaza mnataka watu wafumue uozo unao fanyika timu ya Taifa ili alete taharuki.
Kwafaida ya mpira wetu na mustakabali wa maisha ya Dickson ni bora aendelee kujifanya fala na kukaa kimya kwakua izo Caps za national timu kwasasa unazihitaji kwajili ya maendeleo yako ya kisoka.
Awa watu walioshikilia mpini sasa wataondoka muda si mrefu tena wewe ukiwa bado unacheza.
Dick hajawahi kuwa na matatizo ya kinidhamu.
 
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC.

Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa jeshini alipaswa kunyongwa.

Job alikuwa vitani akiipambania benders ya nchi, tulikuwa na mchezo mgumu ambao tulihitaji ushindi, na Job ndio alionekana mtu wa kubeba mikoba ya ushindi cku ile.

Here's Morroco anapanga kikosi na kuweka mikakati, Job anawarudisha nyuma wenzake akisema hawezi kucheza beki wa kulia.

Job alipangwa nafasi hiyo kwa sababu amekuwa akicheza nafasi hiyo Yanga na hajawahi kukataa.

Job anamuona Hersi ni mungu mtu kuliko Taifa.

Yaani nchi imekulipa ukafie vitani wewe unafika vitani unasema sipigani kwa sababu silaha hii sio nzuri, bwege kweli wewe.

Huyo Lusajo Mwaikenda mbona alikuwa akicheza beki wa kati Azam na ss amekubali kucheza pembeni.

Halafu nyie waandishi wa habari mmekosa kabisa ubunifu, stori hii mlitakiwa kuipata tangu siku ile ile na mngepata subscribers wa kutosha, leo mnatuletea vioja hapa.

Ilitakiwa Taifa lijue kuwa kule vitani kulikuwa na wasaliti aina ya Dickson Job ili watanzania tuiombe serikali iangalie uraia wake huyu mtu.

Siamini kama huyu dogo ni mtanzania, maana sura yake sijawahi kuielewa kabisa kabisa.

Huyu arudishe posho na marupurupu yote kwa sababu hakufanya kazi yoyote zaidi ya kwenda kushuhudia tu, ni afadhali nafasi yake angechukua Mbwiga Wa Mbwiguke tungejua moja.

Pili, Tanzania ina wachezaji wazuri kuliko Job, pale Singida kuna defendant mkatili sana anaitwa Laurian, Namungo kuna watu, Mlandege kuna watu, Kagera Sugar kuna vitasa, Job ni nani asumbue nchi, arudishe fedha za watanzania.
Hizo habari mmezitoa wapi,kuna wachezaji kibao wameperfom vizuri na hawajaitwa, nilimsikiliza leo Job Wasafi ndipo nilipojua mpira wetu bado sana. Hata hiyo sababu unayo izungumza ni uzushi Job na Kumwembe walilizungumzia hili.
 
Nchi hii ina watu wengi, kama yeye hataki nyie CCM nendeni mkacheze.
Mchezaji analipwa na timu sio Nchi.

Kwa nini mnalazimisha watu kucheza timu ambayo ikifungwa mnasema Tanzania imefungwa ila ikishinda mnasema pongezi ziende kwa CCM na mama yao badala ya kusema pongezi ziende kwa WaTanzania wote ?
 
Dickson Job kuna mengi nyuma ya yeye kukataa kucheza eneo la namba mbili, kwafaida ya Soka letu kwa sasa ameanua kukaa kimya.
Kwa izo akili zenu mlizoshikiwa na Jemedari kilaza mnataka watu wafumue uozo unao fanyika timu ya Taifa ili alete taharuki.
Kwafaida ya mpira wetu na mustakabali wa maisha ya Dickson ni bora aendelee kujifanya fala na kukaa kimya kwakua izo Caps za national timu kwasasa unazihitaji kwajili ya maendeleo yako ya kisoka.
Awa watu walioshikilia mpini sasa wataondoka muda si mrefu tena wewe ukiwa bado unacheza.
Dick hajawahi kuwa na matatizo ya kinidhamu.
Ni vyema kuhararibike ili kutengenezwe upya usemwe huo uozo!
 
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC.

Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa jeshini alipaswa kunyongwa.

Job alikuwa vitani akiipambania benders ya nchi, tulikuwa na mchezo mgumu ambao tulihitaji ushindi, na Job ndio alionekana mtu wa kubeba mikoba ya ushindi cku ile.

Here's Morroco anapanga kikosi na kuweka mikakati, Job anawarudisha nyuma wenzake akisema hawezi kucheza beki wa kulia.

Job alipangwa nafasi hiyo kwa sababu amekuwa akicheza nafasi hiyo Yanga na hajawahi kukataa.

Job anamuona Hersi ni mungu mtu kuliko Taifa.

Yaani nchi imekulipa ukafie vitani wewe unafika vitani unasema sipigani kwa sababu silaha hii sio nzuri, bwege kweli wewe.

Huyo Lusajo Mwaikenda mbona alikuwa akicheza beki wa kati Azam na ss amekubali kucheza pembeni.

Halafu nyie waandishi wa habari mmekosa kabisa ubunifu, stori hii mlitakiwa kuipata tangu siku ile ile na mngepata subscribers wa kutosha, leo mnatuletea vioja hapa.

Ilitakiwa Taifa lijue kuwa kule vitani kulikuwa na wasaliti aina ya Dickson Job ili watanzania tuiombe serikali iangalie uraia wake huyu mtu.

Siamini kama huyu dogo ni mtanzania, maana sura yake sijawahi kuielewa kabisa kabisa.

Huyu arudishe posho na marupurupu yote kwa sababu hakufanya kazi yoyote zaidi ya kwenda kushuhudia tu, ni afadhali nafasi yake angechukua Mbwiga Wa Mbwiguke tungejua moja.

Pili, Tanzania ina wachezaji wazuri kuliko Job, pale Singida kuna defendant mkatili sana anaitwa Laurian, Namungo kuna watu, Mlandege kuna watu, Kagera Sugar kuna vitasa, Job ni nani asumbue nchi, arudishe fedha za watanzania.
Mjinga mwingine ni wewe,
We umekamilika nn na wapi?

kwa mawazo Yako tu unaonekana una utindio wa ubongo..

Hivi huwez mkosoa mtu bila kutaja maumbile yake ambayo in fact hakujiumba?

Ungesema tu job watu si tungejua sa mara mfupi kuliko wote mara nn.. yaan unavimaneno flani hivi ambavyo aliyetimamu hapaswi kusema.

We ulikuwa wapi wakat yy anafanya jitihada za kuwa pale alipo? Mbona hukuwa wewe??
 
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC.

Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa jeshini alipaswa kunyongwa.

Job alikuwa vitani akiipambania benders ya nchi, tulikuwa na mchezo mgumu ambao tulihitaji ushindi, na Job ndio alionekana mtu wa kubeba mikoba ya ushindi cku ile.

Here's Morroco anapanga kikosi na kuweka mikakati, Job anawarudisha nyuma wenzake akisema hawezi kucheza beki wa kulia.

Job alipangwa nafasi hiyo kwa sababu amekuwa akicheza nafasi hiyo Yanga na hajawahi kukataa.

Job anamuona Hersi ni mungu mtu kuliko Taifa.

Yaani nchi imekulipa ukafie vitani wewe unafika vitani unasema sipigani kwa sababu silaha hii sio nzuri, bwege kweli wewe.

Huyo Lusajo Mwaikenda mbona alikuwa akicheza beki wa kati Azam na ss amekubali kucheza pembeni.

Halafu nyie waandishi wa habari mmekosa kabisa ubunifu, stori hii mlitakiwa kuipata tangu siku ile ile na mngepata subscribers wa kutosha, leo mnatuletea vioja hapa.

Ilitakiwa Taifa lijue kuwa kule vitani kulikuwa na wasaliti aina ya Dickson Job ili watanzania tuiombe serikali iangalie uraia wake huyu mtu.

Siamini kama huyu dogo ni mtanzania, maana sura yake sijawahi kuielewa kabisa kabisa.

Huyu arudishe posho na marupurupu yote kwa sababu hakufanya kazi yoyote zaidi ya kwenda kushuhudia tu, ni afadhali nafasi yake angechukua Mbwiga Wa Mbwiguke tungejua moja.

Pili, Tanzania ina wachezaji wazuri kuliko Job, pale Singida kuna defendant mkatili sana anaitwa Laurian, Namungo kuna watu, Mlandege kuna watu, Kagera Sugar kuna vitasa, Job ni nani asumbue nchi, arudishe fedha za watanzania.
Mimba changa inakusumbua.
 
Kama lengo lako ni kumtoa mchezaji kwenye reli basi wewe ni FALA.
 
Back
Top Bottom