binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 10,750
- 27,476
Kwani unahitaji uone nini ili ujue kuwa wanapendana?Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.