Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

Kwani ukiwa na utajiri wa Riyal, Tsh huo sio utajiri?

Mpaka useme dollars basi ww ndio unamwona huyu tajiri, basi ulivyokuwa mtumwa ukipewa Riyal moja na dollar moja utaikimbilia dollar bila kujua thamani ya Riyal.

Msanii anaposema anataka kufika kimataifa manake anataka kutanua soko lake la kibiashara hili apige hela na haijalishi nchi gani?

Hivi unaujua utajiri wa Koffi, vipi unamwona ana time na hilo soko la US?Ila still ana utajiri wa kutisha.

Ninekuuliza hujanijibu unamjua ANGELICA KIDJO, mfuatilie ndio utajua ulichokiandika na cha kijinga.

Then compare mwenye utajiri wa 200Billion dollars na 200Billion Riyal uone nani ana hela yingi.

Eti "ninakaa Marekani miaka sita.......",labda American Chips Kinondoni.
Mkuu taratibu
 
Mbona unaruka ruka mkuu?. sisi tuongelea $ maana zipo za nchi nyingi.

mfano gas itauzwa kwa $, je unafikir huwa ni $ ya nchi gani?.

koffi kuingia marekani huwa ni ndoto yake, tatizo ana sanction
 
Point ni Diamond sio msanii wa kimataifa(hapa tunamaanisha kujulikana kama vile marekani maana ndo soko la mziki lilipo).

Nimechukua wasanii wote na hit zao naona Diamond hayupo coz hana hit song pili hana tuzo kubwa kama vile za wakina burna boy.

Elon ni tajiri wa dunia kwa sababu wamechukua watu wote duniani hakuna mwenye utajiri kama yeye.

Free course
Mimi sielewi Diamond hajulikani Marekani..kwa hivyo zile picha na kina Snoopy, zile picha Drek anaimba wimbo wake...zile collabo pia bado hajulikani...hata alivyokuwa nominated kwa tuzo za BET bado hajulikani? sasa kujulikana huko mwenzetu watakaje?
 
Ana hit song gani marekani?

BET alikuwa kipengele gani?

So watu wote ambao wamepiga picha na dogg wanajulikana?
 
Mbona unaruka ruka mkuu?. sisi tuongelea $ maana zipo za nchi nyingi.
mfano gas itauzwa kwa $, je unafikir huwa ni $ ya nchi gani?.

koffi kuingia marekani huwa ni ndoto yake, tatizo ana sanction
Hizo suction si za juzi,hazina hata miaka mitatu,Koffi kaanza kuimba tokea miaka ya tisini huko kutengeneza hela ya kutosha. Koffi sasa anafanya kama kujifurahisha ila ana utajiri wa kutisha na bado hajafika huko Marekani.

Nani anaruka acha utumwa wa kifikra, yaani wewe unaangalia jina ila sio thamani jina, kwa hiyo kwako hesabu zilivyo kupiga chenga utachagua dollar.........daah halafu ww ndio upo Marekani.

Sasa sijajua mimi na ww nani anarukaruka, kwani mjadala wa dollars umeingiaje na nani kaunzisha, unahamisha magoli mwenyewe hata hujui unasimamia wapi.
 
huwez kujua kila kitu na sijakuambia hivyo ila nina advantage kubwa ya kujua zaidi kuliko anaishi bongo.
Duu aisee yaani mwandiko wako na kile unacho kizungumza utakuwa umekaa American Chips Kinondoni.

Okay husihofu humu jamii forum ni ulimwengu mwengine kabisa, so lazima ujipakulie minyama hata mimi nishakaa sana UK miaka 4,US miaka 9.
 
Ana hit song gani marekani?
BET alikuwa kipengele gani?
So watu wote ambao wamepiga picha na dogg wanajulikana?
Yaani hujui BET alikuwa kipengele gani? Watu kama nyinyi mmeamua kubisha,2 nomination za BET 2015 na 2020 daaaah.

Kweli ndio maana neno kimataifa hulijui maana yake.
 
hamna ila anachotaka kutuaminisha ni sawa na kusema elon musk sio tajiri namba moja duniani kwavile hana biashara inayooperate afrika
labda ni ujumbe mchungu tu katumia.

diamond ni msanii mkubwa sana kwa wabongo wenzie,ila sio kwa wasanii wengine wa africa wenye kujipambanua wa kimataifa.
 
Kinacho wabeba zaidi wanaijeria ni wingi wao huko “kimataifa”

80% ya wanaojaza show za wanamuziki wa kiafrika ni raia wa ukanda wanaotoka wanamuziki hao

Wabongo nje ya nchi tupo wachache sana angalau wakenya wanajitahidi na ndio hao wanakwenda show za akina Diamond

Ndio maana wanamuziki wote wakubwa wa Nigeria na ghana wanapiga nyomi la kutosha London
 
Naona mjadala umepamba moto

Agenda mchomozo,

Dollars
Koffi na sanctions
Diaspora na ujuvi wa mambo
Idadi kubwa ya diaspora kutoka w. Africa
Idadi ndogo ya watanzania ughaibuni
 
Hizo suction si za juzi,hazina hata miaka mitatu,Koffi kaanza kuimba tokea miaka ya tisini huko kutengeneza hela ya kutosha. Koffi sasa anafanya kama kujifurahisha ila ana utajiri wa kutisha na bado hajafika huko Marekani.

Nani anaruka acha utumwa wa kifikra, yaani wewe unaangalia jina ila sio thamani jina, kwa hiyo kwako hesabu zilivyo kupiga chenga utachagua dollar.........daah halafu ww ndio upo Marekani.

Sasa sijajua mimi na ww nani anarukaruka, kwani mjadala wa dollars umeingiaje na nani kaunzisha, unahamisha magoli mwenyewe hata hujui unasimamia wapi.

Dream on..
 
Back
Top Bottom