Dizaini km mtoa mada ni Ali Kiba mwenyewe
Poleh sana aisee unajua tu pesa analotembea nayo Dai from Vodacom na hili promo linaloendelea??
Kaa hapohapo sio mwenzako yule
King kiba ataendelea kuwa king tu...yaan unganisha nyimbo zote za domo..hazifikii kichupa cha mapenzi yana run dunia..sembuse hzi nyengie..tuna jua anawasumbua sana nyoyo zenu..haya sasa domo hajui hata anzie wap ..kisa #lupela,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.