Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

anacho nishangaz diamond ni pale ambapo kadangany nyumba ya south yakwake na ihali ni kubwa kuliko ya huku bongo na anasema amenunua hiyo gari kwa ajil ya kule south i hali hiyo gari inaonekan ni thamn kuliko anayotembelea huku bongo sas huwa najiuliz kwamb hivo vitu kule south ni bei ndog xana au vya mke wake
 
Hiyo gari ya kawaida inabeba harusi mjini unasema ya kimataifa???
e8f2206cb5f73225eeace02d26dd5850.jpg

Je angenunua Esclade umesema ya kwa Mungu!
 
Back
Top Bottom