Nianze kwa Refference ya Wale Vijana walikamatwa na Polis Wakiwa wanacheza Nyimbo ya Darasa /Muzuki. Dereva alionekana kucheza na Kuachia Usukani , huku abiria pia wakiwa hawajafunga mikanda . Kitemdo kile kilionekana Kukiuka taratibu za barabarani , ikiwa ni pamoja na kuhatarisha Maisha ya dereva na abiria waliokuamo ndani.
Kwenye Video , Utamuona Diamond akicheza Nyimbo ya Marry Me , Huku yeye na abiria aliwabeba wakiwa hawajafunga mikanda , kwa nyuma anaonekana Mtoto mdogo akiwa amesimama kwnye kiti, haitoshi.Nasibu anaonekana akiachia Uskani huku akiangalia mtu anayemchukua video.
Mpaka sasa sijaona Hatua iliyochukuliwa
My take .
Ifike mahala sheria tulizo nazo zieheshimiwe na ziguse kila mtu anayezivunja pasipo kujali Umaarufu , sheria ni msumeno , tunataka kuona Ikitumika kumkamata Mtu huyu.
Video hii hapa
WatamuuaHatari sana.. Watu wache ushamba wa instagram. Unajirecord huku unaendesha. Kunasiku watakuja kukanyaga watoto wa watu uswahilini huko tuanze kuombana misamaha!!
Nianze kwa Refference ya Wale Vijana walikamatwa na Polis Wakiwa wanacheza Nyimbo ya Darasa /Muzuki. Dereva alionekana kucheza na Kuachia Usukani , huku abiria pia wakiwa hawajafunga mikanda . Kitemdo kile kilionekana Kukiuka taratibu za barabarani , ikiwa ni pamoja na kuhatarisha Maisha ya dereva na abiria waliokuamo ndani.
Kwenye Video , Utamuona Diamond akicheza Nyimbo ya Marry Me , Huku yeye na abiria aliwabeba wakiwa hawajafunga mikanda , kwa nyuma anaonekana Mtoto mdogo akiwa amesimama kwnye kiti, haitoshi.Nasibu anaonekana akiachia Uskani huku akiangalia mtu anayemchukua video.
Mpaka sasa sijaona Hatua iliyochukuliwa
My take .
Ifike mahala sheria tulizo nazo zieheshimiwe na ziguse kila mtu anayezivunja pasipo kujali Umaarufu , sheria ni msumeno , tunataka kuona Ikitumika kumkamata Mtu huyu.
Video hii hapa
Ivo yan....Unajuaje alikuwa South Africa hapo? pengine sheria za huko zina ruhusu
Dunia nzima hakuna nchi inayoruhusu huo ujinga.Unajuaje alikuwa South Africa hapo? pengine sheria za huko zina ruhusu