Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,708
Kabisaaaa....watu wanaugua kwa mahusiano yao.Ndio kitu mwanaume ana stahili kusema inapo bidi,safi sana.
Kabisaaaa....watu wanaugua kwa mahusiano yao.Ndio kitu mwanaume ana stahili kusema inapo bidi,safi sana.
Kwa hapo kawa piga finga.Kabisaaaa....watu wanaugua kwa mahusiano yao.
Kuna kibibi kule Insta kinaitwa Kimambi, yani utadhani kinataka kikazwe na mondi... Kimesahau nacho kimetokea uswahilinitatizo walioshia bango ni team wema na kiba wanataka zar na dai waachane ndo walioleta izo story ila dai yupo busy na zari wake
Nadhani hii meseji ni vere direct kwa bibi kisebengo Mange Kimambi, loo mange atakuwa kaumbukaje jamni, coz huko insta kila siku alikua anamchamba kuwa zari mzee wa miaka karibia 40 kaachika kwa kitoto kibichi. Mange yake yamesmshinda kazi kukalia ya wenzake tuu. Sasa saivi sura yake komavu ile itakuwa imemshuka kama anapuliza moto wa masika.
Dai ukiachana na Zari ebu mtokee mange uje umkaze kidogo coz si kwa kukukazania huko, atakuwa anahitaji mkazo tuu bibi bomba yule.
hahaha umenichekesha, kwa hyo usitake kuniambia kenge mmejichomeka kwenye huo msafara wa mangi kimangi na huyi dogi. Afu kima wale ukiwa ukweli wanakimbiliaga kukublock, ndo mana wafuasi walionao wpte kama miskukule vile, hivi mtu anamtukana mwenzie afu unakuta kuna fala linashangilia huu si usukule huu. This goes kwa wote timu mavi mavi huko insta,Si kwa Mange si Dogiembwa kote nilishablokiwa. Kuna wakati kweli wanaandikaga point maana mtu huwezi kuwa mbaya kila siku ila wananiboa tu tabia yao ya kuingilia kila jambo na kujifanya wanalijua alafu ukiwaambia tu unakula solex dadeeeki! Ni shiiiidaa! Saa hizi wameunda kigroup watsup wajiandae kuumbuka tu coz kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
Hhahahah watanzania siwawezi, kwahiyo na kenge ndani ya nyumba.Si kwa Mange si Dogiembwa kote nilishablokiwa. Kuna wakati kweli wanaandikaga point maana mtu huwezi kuwa mbaya kila siku ila wananiboa tu tabia yao ya kuingilia kila jambo na kujifanya wanalijua alafu ukiwaambia tu unakula solex dadeeeki! Ni shiiiidaa! Saa hizi wameunda kigroup watsup wajiandae kuumbuka tu coz kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
usijaliBasi niwie radhi madame.
Daaaah mwamba 😭😭😭😭😭😭😭Ni hivi majuzi tu tulisema Celebs wa bongo waijifunze style za Hollywood.Akina Jay na Bey are makin a lot of money kupitia hata conspiracy theory za ugomvi wao.Lakini huku kwa akina Pudensiana na Joachim au Mwajuma na Sadalla ni full masimango na kulogana for nothing.Shame!
Jimbo huru sasa hana beinaombeni bei ya uyu mtoto
Ni hivi majuzi tu tulisema Celebs wa bongo waijifunze style za Hollywood.Akina Jay na Bey are makin a lot of money kupitia hata conspiracy theory za ugomvi wao.Lakini huku kwa akina Pudensiana na Joachim au Mwajuma na Sadalla ni full masimango na kulogana for nothing.Shame!