Ki Msingi kama ilivyo kwenye shule basi hata Kwenye tuzo kuna "TUZO ZA KATA" piaDiamond ndo mtanzania pekee alietajwa kwenye 100 most influential young Africans 2016 katika list iliotoka Leo katika kipengele cha sports and entertainment.
Kutoka East Africa, Uganda amechomoza Anna kansiime, huku Kenya wakichomoza lupita nyong'o na mtangazaji wa focus of Africa kutoka BBC anaitwa Sophie ikenye
View attachment 466511
Kwa upande wa mwanamuziki wapo 3 tu , yaani Sarkodie kutoka Ghana, Wizkid kutoka Nigeria na Diamond Platnumz kutoka Tanzania
View attachment 466512
View attachment 466513
Nani kapanic, sijakosea mahali.. pia sio lazma uinglie kitu ambacho hakikuhusu, minaongea na mtoto mzuri we tuliza p*mbu dogobro dada yupo sahihi kukuambia utagongwa,maana unakosea kanuni za kuvuka barabara...nazani umelijua kosa lako ndo mana umepanic sn,ucjali kila mtu alishawahi kukurupuka ktk maisha!
Sent using Jamii Forums mobile app