Diamond anatambuliwa kama mwanamke na channel hii ya kimarekani

Vizuri na kukosea kwao, kiki iongezeke azidi kupaaaa.

Uliwataarifu kuwa wamekosea ama?
 
Mtoa mada kweli haujatulia umeanza kufatilia mziki kipindi hiki cha kina young D na kina Yamoto,Diamond ni msanii mkubwa sana wa kike marekani yupo level za kina Trina,Eve E etc huenda walikuwa hawamzungumzii Diamond wenu huyo...Diamond wenu kaanza kujulikana mwaka 2009 wakati Diamond Rapper demu wa marekani ameanza kujulikana tangu mwaka 2004.
 
na walie muhoji pia alikua huyo dada?
 
Mmmmhhh!!! Hivi majuzi Diamond plutnumz (Nasib Abdul...Baba Tiffah)alioneshwa kwenye kipindi cha E-VIP kinachorushwa na channel ya kimarekani ya E! namba 124 kwa king'amuzi cha dstv. Kipindi hicho kimekuwa kikirudiwarudiwa mpaka sasa na wataendelea tu kukirudia cause Diamond anawapa viewers wengi tu ninavoamini kwani alikipromote kwenye account yake ya insta ili watu wakiangalie.

Nimeandika hii thread baada ya kushtushwa na information iliyoandikwa na channel hiyo juu ya diamond... imediriki kusema "....Diamond tells HER story in the music..........". Hivi hizi ni makusudi au bahati mbaya? Nilipoona siku ya kwanza nkajua watajirekebisha ila mpaka muda huu, info hiyo imebaki hivo hivo(inasomeka kwenye info DSTV).

Sijui wanatafuta nini hawa, nadhani hawawajui #teamplatnumz.....and above all mi nadhani Diamond can sue these people to get money cause kama ni kiingreza wanajua.

Hizi ni dharau, mbona wasikosee za kina Chris Brown, Lil Wayne etc?
Afadhali
 
Huyo aliyekuwa anaongelewa hapo ni diamond plutnumz...an artist from East Africa, Tanzania
Hata kama anaongelewa Diamond platnumz huyo mtangazaji anajua kwamba Diamond ni msanii wa kike kwa marekani.
 
Hivi kwani mtu kuitwa mwanamke wakati ni wakiume ni kosa? kwani wanake si watu?
 
Hata kama anaongelewa Diamond platnumz huyo mtangazaji anajua kwamba Diamond ni msanii wa kike kwa marekani.
Sioni sababu ya wewe ku-try so hard kupinga that ni diamond huyu wa Tz coz wameandika from east africa,Tz......na kipindi alikua anaojiwa diamond huyuhuyu wa Tz.....na hapo bado mtangazaji alijua ni diamond mmarekani?...labda kama huyo mtangazaji ni bubu kwamba hakumwuona diamond...na kiziwi vilevile kwamba hakusikia sauti ya kiume!o_O.....sa sijiu alikuwa anamuhoji vipi!
 
Weka clip.
 
Back
Top Bottom