Dhana ya future Buddha(milefo) katika Buddhism

Happy Buddha mpenda kula inaaminika kuwa kuna wakati utafika watu wote watakuwa na furaha baada ya kujifunza kuielewa na kuikubali Buddhism ndio hapo dunia itakuwa sehemu ya furaha amani na upendo...kimbembe ni huo muda
Yalee yalee katika ukristo kuna wakati dunia itakua na amani amani amani, au katika uislam ujio wa Issa bin Maryam atakaa na kuoa kabisaa.
Imani hizii ...chukua linalofaa linalotatiza liache kama lilivyo.
 
Another contradiction is here...kwao Buddha ni inspirational figure ni mwalimu mkubwa (shifu/master)kiongozi, wanakataa kumuabudu ila kiuhalisia wanamwabudu.. .ni waabudu sanamu Buddhism inapotoka kuwa phylosophia na kuwa imani
Wana ibada pia za ajabu linapokuja swala la imani...ikiwemo ibada ya utajirisho kwa kuchoma pesa live lakini kwa siri
Hapa umenikumbusha kitabu cha the river between, Mugo wa Kibiro alipopredict ujio wa white pipo na kuwashauri wafuate elimu watakayopewa ila wasifuate utamaduni wao.
Ni sawa na budha naona wanamafundisho mazuri lakini sio yoote. Yasioyofaa mwachie Goutam na jamii yake .
 
Mabuddhist wengi ndani ya nyumba zao na kwenye biashara hupenda kuweka hizi shrine na kuweka vyakula au chochote kabla hawajatumia wenyewe
2451736ac4992b20462ab4b644b2f6f0.jpg
51586a13d19470fb7f67b2d747f27283.jpg
396b270d271ef3ce0203ef6f80ad2f7b.jpg
Huwa naona hata kwa wahindu wanaoffer sweet to their Lord Krishna, tena wanasema Krishna alipenda saana butter. Imani.
 
Unaposoma maandiko ya Buddhism kuna mabudda wa aina mbalimbali
Kuna
Sakyamuni Buddha(Sidharta Goutama) Buddha mkuu
05bf342dc742ab391145f169879643d6.jpg

Kuan ing pusa(Buddha with a thousand hands
ae6a7fb73ddc5661ec085a6870619687.jpg

Milefo (future Buddha)
f7e29d7c2dc5d9043192b0909da79629.jpg

Ni kama aina fulani hivi kama ya utatu mtakatifu kwenye imani za kikristo...hivyo ndani ya Buddhism wanaamini katika ujio wa budha mwingine ambaye atakuja baada ya kalpa kadhaa(kalpa moja ni sawa na ukubwa wa jiwe la maili tano limogolewe kipande kidogo kila baada ya miaka mitano hata liishe)
Ukiichunguza sana hii dhana ya Milefo(Buddha ajaye)haina tofauti na dhana ya ujio wa Kristo kwenye imani za kikristo
Hakuna imani inayokosa utata na huu ni utata kwenye Buddhism pamoja na kujinasibu kusimama kwenye uhalisia na nafsi
Tuna watu wa kuvutika na mafundisho fulani, sio jambo baya jifunze lakini mwisho wa siku baki na msimamo wako mmoja! Hakuna dini inayokosa utata hakuna imani inayokosa ukakasi, ukiwa mtu wa kurukaruka utaishia kuchanganyikiwa
Future buddha/milefo/happy budha ni kitu cha kufikirika...Kalpa pia ni kitu cha kufikirika, jifunze haya mambo penye utata achana napo pasikuzuie kusoma ya mbeleni

Mkuu umenikumbusha mbali sana kuna picha nilipiga na statue ya future budha pale Leishan city china... Jamaa anamasikio makubwa hatari
 
nimewai kujaribu kama siku mbili hivi, oooh ni ngumu sana ile mana wanasema inatakiwa mind iconcentrate kweny one thing bt mi nlikua nawaza hadi kipolo cha ubwabwa mpka mpira wa ulaya, yn kwa kweli nlishndwa sijui nitumie njia gan aisee.
weee nomaaa
 
Huwa naona hata kwa wahindu wanaoffer sweet to their Lord Krishna, tena wanasema Krishna alipenda saana butter. Imani.
Hahhahahaaaa krishna mroho...kiukweli tetee linapokuja suala la imani hakuna imani hata moja inayokosa mapungufu
 
Poa mkuu am waiting
Ok ok ila wakati unasubiri meditation kwa kiswahili ni tahajudi au tafakuri jadidi
Kuna mikao inayofaa kwa tahajudi kuna mkao lotus(lotus position
4b618df174ccb4af6367cc96275c092b.jpg
9a88b3c610e718a1ef45f7c35e0ddcca.jpg

Lakini vile vile kuna mkao wa kusimama na kutembea. ..ngoja nitarejea kwa ufafanuzi wa kina
 
Shukrani mkuu mshana
 
Hahhahahaaaa krishna mroho...kiukweli tetee linapokuja suala la imani hakuna imani hata moja inayokosa mapungufu
Uwe na akili ya kujiongeza tu ndio ujanja. Pia kuna Ganesha (sanamu ya tembo kapambwa na vito vya dhahabu)jamani huyu wanamzamishaga baharini /ziwani. Hapa nilikua naona (documentaries) wazee wa fursa hawachezi mbali. Wakishawazamisha ma Ganesha wao waondoka basi vijana wale wanaingia majini kusaka dhahabu na wanafanikiwa wanawaeza pata pesa au pete au cheni chochote chenye thamani.
 
Nikiwa temple ya Nairobi kwenye wiki ya maadhimisho ya Krishna tuliwahi kutoka na hilo lisanamu la tembo kuanzia Nairobi mpaka Kampala wiki nzima
 
Nikiwa temple ya Nairobi kwenye wiki ya maadhimisho ya Krishna tuliwahi kutoka na hilo lisanamu la tembo kuanzia Nairobi mpaka Kampala wiki nzima
wanakua wanazunguka nalo kama sanamu ya bikira Maria sijui inaitwa Bulabo! (Sina hakika ya jina).
 
wanakua wanazunguka nalo kama sanamu ya bikira Maria sijui inaitwa Bulabo! (Sina hakika ya jina).
Huwa nawaambiaga watu usicheze na imani ya mtu....imagine hivi hapa nchini tunavyokula nyama ya ng'ombe halafu siku moja umkaribishe kwako mhindu anayeamini ng'ombe wote ni miungu halafu umlishe nyama yake kisha ajue..... ..!!!
 
Mziki wake busara tu ndio itaamua. Kuna mtalii aligonga ng'ombe India weee weee..wanasema ng'ombe ni mama yao Mungu wao afu unamgonga
 
Mziki wake busara tu ndio itaamua. Kuna mtalii aligonga ng'ombe India weee weee..wanasema ng'ombe ni mama yao Mungu wao afu unamgonga
Hahhahahaaaa mungu anagongwa na kufa imani hizi
 
Back
Top Bottom