Dhambi saba mbaya zaidi

Nikiwa Sunday school nilifunzwa hii ni mizizi ya dhambi. Haya yanaelekeza binadabu kutenda dhambi kubwa zaidi.
 
Mi namonea wivu bakharesa nataka nimzid kipato kwa kufanya kazi zaidi naingia wapi apo,..!?
 
Dhambi hutokana na kumuasi Mungu
Utajua umetenda dhambi kupitia zile amri kumi
 
Kuibia yatima na wajane hii kitu isipokuathibu wewe inarudi kiunoni kwa watoto wako hakuna jinsi inaweza kupandwa isiote labda uiwahi na toba, mziki mwingine dhulumu mtu mshahara wake fanyiwa kazi usimlipe mtu makusudi mziki wake nao unakaribiana na yatima na wajane....Mkufuru Mungu ni kadi nzuri sana ya kufa huchukui round! Nikiandika hapa haziishi maana nyingine ukisikia unajisemea kwakweli mimi mdhambi ila hii hapana zile unasikia baba analala na MTT wake,kikongwe miaka 60 kimebakwa,mtt miaka 2 kalawitiwa Mimi huwa masikio yanawasha kabisa sijui wenzangu ila Mungu alivyo mkuu anasamehe ukiingia ktkt toba ya kwl....
 
Kiasi tena minataka nimzidi,..nguvu ninazo,sabab ninayo na nia ninayo
KIASI cha kutamani yale matamanio yasizidi ili upate kwa halali kitu ambacho hakiwezi kutokea....kumbuka ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa Mbinguni
 
KIASI cha kutamani yale matamanio yasizidi ili upate kwa halali kitu ambacho hakiwezi kutokea....kumbuka ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa Mbinguni
kwa iyo tusiwe matajiri,..!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom