Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,592
mkuu ulikuwa danger coy nini? mimi bravo coy unaikumbuka siku ya intro ule usiku?Uwanja wa damu pale nini. Ilifika mida ya mzabuni ndo utamjua ngurutu na mdudu gani. OP Kikwete KJ 835
mkuu ulikuwa danger coy nini? mimi bravo coy unaikumbuka siku ya intro ule usiku?Uwanja wa damu pale nini. Ilifika mida ya mzabuni ndo utamjua ngurutu na mdudu gani. OP Kikwete KJ 835
Moro hiyo mkuuuChita JKT nani anapajua?
Watu wanadevela aiseee.hahahaha nimecheka aisee! hii mitoto nikuburuza tu mkuu. akirudi mwenyewe atasema asante. Hiyo shuguli ya magazine, imenikumbusha waliokua wanasababisha moto kwenye lile shamba la miti la taifa, dah tulikua tunakoma maafande sijui na gongo zao sigara wanawasha moto makusudi aisee at least mara moja kwa wiki mbili kwenda kuzima moto kwa majani saa saba za usiku mpaka 11.
kama umepita lile eneo la mafinga kwenda mbeya baada ya iringa nadhani unajua lile sshamba la miti ile inawaka kama karatasi wakati ni mibichi....ni changa moto kwelikweli.
Hahahh.. ..hapo badala ya kumind unaeza jikuta unacheka tu.sasa ile tupo master parade halafu ndio ile sio akatangaza kuwa leo tutalala hatukesh na route ya chai kuifuata kuponi haitakuwepo watu tukafurahi kinouma nouma.sasa mda wa kuondka co amepigisha mguu pande mguu sawa ili amalize tusepe,sasa c kuna bwege mmoja alikuwa anatembea katikat ya mstari anahama position dah co akamind kinouma ikabidi cku hyo tukeshe na rout ya chai iwepo tena kuelekea kabuku(zaid ya km12 kwenda).
Haha sukari imekuwa standard ya upendo.......Magu vunja mpka ikuluMtoto kama huyu akikuambia anaomba sukari kilo tatu unanunua tu kwa moyo mkunjufu.
Uko unakutana na majaruba tu...we acha mkuuMoro hiyo mkuuu