Deo Kisandu akacha siasa

Jamaa ni mwalim wa special education. Athari za hii kozi ni kuzalisha professionals wenye kupenda lihurumiwa, kulialia, na kuchukulia kila kitu kwa mtazamo hasi. Maana wao wanakuwa walemavu kuliko clients wao

Ya kisandu mwachie kisandu lkn usidhalilishe fani za watu
ebo!
 
Back
Top Bottom