Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,216
Jana nilikuwa nafikiria kuhusu demokrasia kama mfumo kuundia serikali nimekuja kujua hauna tija sababu zangu ni hizi
1.mwenye hela na umaarufu anaweza kuwa kiongozi
Hapa ni kwamba mfumo wa democracy ulivyokaa ni kwamba anaeshinda kwa kura nyingi ndio anae kuwa kiongozi hata kama sifa zake ziko chini sana....kuna mfano unasema mfano wakigombea doctor wa meno na muuza pipi nani atashinda uchaguzi mara nyingi ni muuza pipi maana atawahadaa wapiga kura kwa kusema yeye anawapa pipi tamu doctor anawakataza msile pipi na tamu na anawang'oa meno......lakini ila kiukweli doctor anakuwa ana umuhimu kwa jamii husika kuliko muuza pipi.......huo mfano tu.... sasa hata hapa tanzania tumechagua watu wengi sana sababu ya hela na umaarufu ila hawana sifa za kusaidia jamii yetu ... ukijumlisha na wizi wa kura
2.sio kila mtu anafaa kuwa mpiga kura siamini katika hili hasa nafasi za uraisi
Naamini jambo la kupiga kura haliitaji kila mtu linaitaje critical thinker watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kumchagua raisi wa nchi husika......sababu raisi ni nafasi nyeti....so tunahitaji mfumo wa kupata watu maalumu wa kumchagua raisi ..lakini mfumo wa kuwaandaa wapiga kura wa uraisi lazima uwe mfumo maalumu na makini mno
3.Kiongozi hachaguliwi ...anaandaliwa na kuteuliwa katika mchujo mkubwa kati ya wengi waliondaliwa
Kiongozi lazima aendaliwe na kuteuliwa mfano... mtu kuwa waziri wa habari na technology moja sija lazima uwe mtu wa IT. Au mtu ambae uliyepita tasia ya habari watakao kuteua uwe waziri wa habari na technology lazima wawe washika dau wa sector husika mfano watu wa i.t wana habari watasema fulani anatufaa kwenye sector yetu kuwa wazira sababu ana ujuzi ambao washika dau wa sector husika wanautaka...... kingereza meritocracy......
Sasa tanzania waziri wa afya unakuta hata sio daktari......mkurugenzi sio accountants wakati ndo mshika hela wa hela za wilaya
Ngoja nile narudi na part 2