Dear ladies bitter truth you must swallow

Toa hela mkuu. Hayo maelezo inategemea mwanamke anataka mwanaume wa aina gani na kwa ajili ya nini. Kwa sasa mkuu wewe toa hela tuu mambo yasonge.
 
Napita tu naelekea mtoni kuoga. Nina taulo, jiwe na dodoki. Nikirudi huko nitasema lolote labda nitakuwa msafi kuchangia
 
nimemeza km nilivyoshauriwa japimo vichungu! imebidi sukari isiwe mbali japo kwa kulamba maana nayo bei yake mmmh km uzi huu tu!
 
Wanaoolewa siku hizi hata hawana hizo vitu vyote mleta mada umetaja. Wenye navyo hivo hawaonekani sababu hawana mvuto. Mvuto kwanza hayo mambo mengine yatafuata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom